Ulanga District Council is looking for wetland friendly investments in support for communities in their area to make less dependent on natural resources from the wetlands. Ulanga District Commissione…
POLISI ARUSHA WAWAAANGUKIA SSRA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
ASKARI Polisi mkoani Arusha, wameiomba Mamlaka ya Udhibiti wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) kuweka mazingira yatakayowawezesha kuhamisha mafao yao kutoka mfuko mmoja kwenda mwingine. …
AJTC WAIBUKA KIDEDEA KWENYE BONANZA LA WAANDISHI WA HABARI MKOANI ARUSHA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa habari za michezo nchini(Taswa)Juma Pinto(kushoto) akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa kudumu wa Taswa mkoa wa Arusha,Jamila Omary aka "Dangote" wakati wa…
JUMA PINTO KUWA MGENI RASMI KATIKA BONANZA LA TASWA KESHO
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
katibu wa Taswa Musa juma kulia akiwa anapokea cheki ya shilingi milioni moja laki tano kutoka kwa afisa masoko wa Kampuni ya Megatrade Godluck Kwayu katibu wa taswa wa kwanza kushoto Musa ju…
Veta Tanzania na Kenya wasaini ushirikiano
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Arusha, Chuo cha Elimu ya Ufundi Stadi(VETA) Jijini Arusha pamoja na Chuo cha Utalii cha Kenya ( KUC) wamesaini makataba wa makubaliano kwa ajili ya kuboresha mafunzo ya sekta ya hoteli na utalii …
MRADI wa barabara Arusha- Holili- Voi wazinduliwa
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Arusha,Mkuu wa mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo amezindua mradi wa ujenzi wa barabara ya njia nne kutoka Arusha hadi Tengeru na Arusha-Holili-Taveta hadi Voi nchini, Kenya mradi ambao unatarajiwa…
VIJANA WA BABATI WAPEWA MAFUNZO JUU YA UPATIKANAJI WA MIKOPO KUTOKA MFUKO WA MAENDELEO YA VIJANA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mkurugenzi Msaidizi Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Venerose Mtenga akisalimiana na Mkurugenzi wa Mji wa Babati Bw. Omari M. Mkombole alipomtembelea…
UKATILI WA KUTISHA BABA WA KAMBO AMUUNGUZA MIKONO MWANAYE KWA KUCHELEWA KURUDI NYUMBANI
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mtoto mmoja wa miaka nane, mkazi wa Mjimwema Songea mkoani Ruvuma amefanyiwa ukatili wa kutisha na Baba yake wa kambo aitwaye Stan Nyoni kwa kumchoma moto mikono yake yote miwili kw…
HABARI PICHA: AJALI MBAYA YA MALORI YATOKEA MTO NDURUMA ARUSHA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
TCRA YATOA ONYO KALI KWA WANAOTUMIA MITANDAO KUCHAFUA WENGINE
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Dr. Raynold Mtungahema Mamlaka ya mawasiliano nchini, TCRA, imewaonya wale wote wanaotumia mitando kuchafua na kudhalilisha watu waache mara moja vinginevyo watakabiliwa na mkono wa sheria. Onyo…
WAZIRI NYALANDU APOKEA CHOPA YA KISASA KUKABILIANA NA UJANGILI KATIKA HIFADHI
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Waziri wa Mali asili na Utalii, Lazaro Nyalandu (wapili kushoto) akipokea funguo ya helkopta kutoka kwa ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Helicopter Charter (EA) Ltd, Peter Achammer iliyotolew…
SIKU YA MTOTO AFRIKA ILIVYOFANA JIJINI ARUSHA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Watoto wa shule ya msingi Kilimani iliyoko jijini Arusha wakiwa kwenye gharide maalumu la kuadhimisha siku yao leo katika viwanja vya Sheikh Amri Abeid Karume,kauli mbiu ya maadhimisho hayo ni "…
Moto wateketeza soko mitumba la Karume, Manispaa yalaumiwa kuwafanyia hujuma machinga
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
SOKO la Mitumba la Karume lililopo katika Manispaa ya Ilala jijini Dares Salaam, limeteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo na kusababishahasara ya mamilioni ya fedha na kuharibu miundombinu ya soko h…
35,000 wakiwepo watoto wadogo zaidi ya 3500 WATUMIA ARVs
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
JUMLA ya watu 35,000 wakiwepo watoto wadogo zaidi ya 3500, wanatumia dawa za kupunguza makali ya ugonjwa wa UKIMWI,(ARVs) katika mikoa ya Shinyanga, Simiyu na Geita. Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la…
Waziri wa Fedha, Saada Mkuya asoma bajeti ya Serikali 2014/2015
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akiwa amenyanyua Mkoba wenye Bajeti ya Serikali alipokuwa anaenda kuwasilisha hotuba ya mapendekezo ya makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2014/…