![]() |
Washindi wa kukimbiza Kuku kutoka The Institute of Media and Social Studies(IMS) "wakishow" |
![]() |
Katibu wa Kudumu wa Taswa Arusha,Mussa Juma(shoto) akiwa Le Mutuz baada ya kukagua timu za Arusha One Radio na Arusha Journalism Training College(AJTC) |
![]() |
Mabingwa katika mpira wa miguu na mpira wa Pete(Netball)Chuo cha Arusha Journalism Training College(AJTC)wakishangilia ushindi wao. |
![]() |
Waandishi wa habari za michezo wakifatilia burudani. |
![]() |
WAKUFUNZI wa Chuo cha Uandishi wa Habari na Utangazaji Arusha wakifuatilia mwenendo wa Mchezo kati ya Sunrise Redio na Chuo cha hicho cha AJTC |
![]() | |
Baathi ya wanafunzi wa Chuo cha Uandishi wa Habari na Utangazaji Arusha wakifuatilia kwa makini Mpambano. |
![]() |
Katibu Msaidizi wa Taswa Arusha na Mtangazaji Mahiri wa vipindi vya Michezo na Burudani,Hamza Kalemera akichapa kazi,kulia ni Mussa Juma |
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.