Afrika
ni bara zuri ambalo limejaa tamaduni mbali mbali, Lugha na watu wa kila
aina. Kama ilivyo kila kitu kinakuzidiana, Hivyo katika nchi zilizomo
ndani ya bara la Afrika kuna nchi ambazo zinaongoza kuwa na wanawake
wenye mvuto. Tunavyo ongelea 'Wazuri/Warembo' hapa ndipo mchanganyano
unapo tokea maana ni neno kubwa sana na zito.
Kila moja huona uzuri kwa tofauti yake, Lakini kwa ujumla hatuangalii
sura, umbo bali tabia, kujitunza na ushawishi wa kutumia muonekano wako.
NOTE:
Mtazamo huu wa Top 10 nchi za Afrika zenye warembo ni kutokana na maoni
mengi kutoka kwa watu kwa mujibu wa Afrojuju.net, Hivyo na wewe unaweza
kuaj na Top 10 yako yenye nchi ambayo unahizi inawarembo wakali hapa
Afrika.
10: TANZANIA.
Wanawake wa
nchi hii wanasifika kwa uzuri, kutunza nyumba na ujuzi kwenye kitanda.
Kama unatafuta mwanamke wa kumpeleka nyumbani kumtambulisha ambaye
anajua kutunza nyumba, Basi Tanzania ndipo eneo sahihi.
09: KENYA.
Wasichana wa
Kenya niwazuri na wanamahaba, Kama unatafuta msichana ambaye ni mzuri,
mwenye mahaba, na anaye jisimamia 'Independent', Mchapa kazi na sio
mvivu... Basi kimbilia nchini Kenya.
08: GHANA.
Haitawezekana
kukamilisha list ya nchi zenye warembo bila kupitia Gold Cost. Wanasifa
ya kuwa Warefu, Wataalamu kitandani, ngozi ya asilia 'Ebony Skin tone'
na wana uhalisi wa Muafrika.
07: NIGERIA.
Wanawake wa
Nigeria niwazuri kutokana na ukubwa wa maziwa yao na walivyo jengeka
miili yao kwa afya. Kati kati ya mwaka wa 1970s na 2011 nchi ya Nigeria
imeongezeka kwa idadi ya watu nakusababisha iwe maarufu barani Afrika.
Hivyo kama unataka mwanamke ambaye atakuzaliwa watoto wazuri basi
Nigeria ndipo ukimbilie.
06: SOUTH AFRICA 'The famous Rainbow Nation'.
Afrika kusini ni nyumbani kwa wanawake warembo barani Afrika, kuwanzia Cape
Town, Johannesburg, Pretoria na Durban. Wanawake wa Afrika Mashariki
utawapata wenye uweupe wa chotara au uweusi halisi wa Afrika.
05: ANGOLA 'Doughters of Atlantic cost'.
Nchi ya
Angola unaweza kusema ni kama Brazil ndogo kwa wasichana wazuri na
warembo, Wasichana wake wakiwa wana rangi ya chocolate scados. Wasichana
wa Angola baazi ni Supermodels ambayo itakuchanganya akili kabisa.
04: CAPE VERDE ISLAND.
Sio nchi
maarufu barani Afrika wala hata kupata wataa kwenda kuitazama, Lakini
kisiwa hicho kidogo ni nyumba ya wasichana na wanawake warembo
walioumbwa Afrika. Wanakauli nzuri ya ukarimu ambayo itakufanya usahau
njaa wakati hukula chakula.
03: ETHIOPIA 'The cradle of humanity'.
Ustaarabu
ndipo ulipo anzia nchini Ethiopia, Wasichana wa nchi hii sio wazuri tu
kwa bara la Afrika bali hata ulimwenguni wamekuwa wakisifika kwa uzuri
wao unao shawishi kutangaza ndoa. Wengine wamekuwa wakidai uzuri wao
umetokana na mchanganyiko wa mbegu 'uzazi' kutoka kwa watu wa Yeamen na
Ethiopia wenyewe.
02: SOMALIA 'Vita haiondoi urembo'.
Kama
hujawahi kukutana na msichana wa Kisomali basi utakapo kutana naye
utachanganyikiwa na kukusababisha uweze hata kusaliti uliye naye.
Chukulia mfano wa Iman, Model aliye tikisa ulimwengu kwa mwendo wake wa
madaha hadi kila mmoja kushangaa. Wanasifika kuwa na macho mazuri, ngozi
ya chocolate, nywele laini na ndefu.
01: RWANDA 'Africa's hidden Apple'.
Niwazuri na
wakuvutia, Weusi wa asili, Wana umbo nzuri na ukarimu, Sauti ya kimahaba
na urefu wakupagawisha. Wakitembea ni sawa na Twiga nyikani akiwa
anatembea. Uzuri wao huwezi kuuelezea.
-Nimekosea? Wewe unadhani nchi gani Afrika ingekuwepo kwenye Top 10 yangu ya leo? Niachie comment hapo chini.
credit: lemutuz nati
Post a Comment