Mbunnge wa Monduli na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akimkaribisha mratibu wa msafara wa wachungaji mbalimbali wa Makanisa ya Pentekoste kutomaeneo mbalimbali nchini, Mchungaji Bernedict Kam…
HABARI PICHA-MAMIA YA WANAFUNZI WAKIANDAMANA KUADHIMISHA SIKU YA PAI DUNIANI KANUNI YA MAHESABU INAYOTUMIKA DUNIANI KOTE
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Sehemu ya umati wa wanafunzi walioandamana jana katika maadhimisho ya siku ya Pai duniani kanuni maarufu ya hesabu inayotumika duniani kote,lengo la maandamano hayo yaliyoanzia kwa mkuu wa mkoa n…
KISWAHILI KUTUMIKA KATIKA SHUGHULI MAHAKAMA YA HAKI ZA BINADAMU
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Raisi wa Mahakama ya Afrika ya Haki za binadamu Jaji Agustino Ramadhani Akihutubia mkutano wa Haki za binadamu uliofanyika jana jijini Arusha lengo la kuimarisha haki za binadamu na kushirikisha…
Lukuvi Aagiza Upimaji ardhi na upangaji wa miji
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Na Ferdinand Shayo,Longido Waziri wa Ardhi nyumba na makazi Wiliam Lukuvi ameiagiza Halmashauri ya wilaya ya Longido kuhakikisha kuwa wanapima ardhi pamoja na kupanga miji ili kuepukana na tatizo…
HABARI PICHA-WAZIRI WA ARDHI,NYUMBA NA MAKAZI WILIAM LUKUVI AKIKAGUA NYUMBA ZILIZOJENGWA NA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC) ZILIZOKO KATA YA LEVOLOSI JIJINI ARUSHA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Waziri wa Ardhi,Nyumba na Makazi Wiliam Lukuvi akikagua nyumba zilizojengwa na shirika la nyumba la taifa NHC zilizopo kata ya Levolosi jijini Arusha jana katika ziara yake mkoani hapo,Katikati n…
BARAZA LA MADIWANI ARUSHA WAJADILI UHABA WA MAJI ARUSHA KATIKA KIKAO CHA DHARURA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Baraza la madiwani wa Jiji la Arusha jana wameitisha kikao cha dharura kwa ajili ya kujadili tatizo la uhaba mkubwa wa maji katika jiji la Arusha. Meya wa jiji la Arusha, Gaudence Lyimo,ak…
HABARI PICHA -MKURUGENZI WA VIJANA KANISA LA WADVENTISTA WASABATO KANDA YA AFRIKA MASHARIKI ,MCHUNGAJI JEAN PEARE MULUMBA AKIKABIDHI MSAADA WA MASHUKA 260 KWA KAIMU MGANGA MKUU WA HOSPITALI YA MOUNT MERU.
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mkurugenzi wa vijana Kanisa la Waadventista Wasabato kanda ya Afrika Mashariki na kati Mchungaji Jean Peare Mulumba akikabidhi msaada wa mashuka 260 ya wagonjwa wa Hospitali ya Mount Meru kwa ka…
KIKAO CHA MAWAZIRI WA UTALII WA KENYA NA TANZANIA CHAVUNJIKA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Arusha.Kikao cha Makatibu wakuu wa wizara ya Maliasili na Utalii wa Kenya na Tanzania na wizara ya Afrika ya Mashariki juzi kumevunjika bila kupatikana suluhu ya mgogoro wa serikali ya Kenya kuzuia …
NYALANDU AWAPA MILLIONI MIA MOJA WAFANYABIASHARA WA VINYAGO JIJINI ARUSHA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Baadhi ya wafanyabiashara wa soko la vinyago jijini Arusha wakiandaa bidhaa kwa ajili ya kuuza kwa watalii wanaotembelea soko hilo maramara kujipatia vinyago hivyo wanaporudi makwao kama walivyokutwa…
HABARI PICHA-MAAFISA KUTOKA SHIRIKA LA MAREKANI LA MISAADA USAID WAKINUNUA BIDHAA ZA UTAMADUNI ZILIZOTENGENEZWA NA KINA MAMA WA KIMASAI KIKUNDI CHA LIMCA WANAOJIHUSISHA NA VIKUNDI VYA UJASIRIAMALI
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Maafisa wa Shirika la Marekani la kutoa misaada la Marekani la USAID waliokuwa wakitazama Bidhaa zinazotengenezwa na Wajasiriamali Wanawake kutoka jamii ya Wamasai Wafuagaji Wa kikundi cha LIMCA…
HABARI ZA PICHA-MTOTO MARY PAULO AKIWAONYESHA KILIMO CHA BUSTANI ZA MBOGA MBOGA MAAFISA WA SHIRIKA LA MISAADA LA MAREKANI
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mtoto Mary Paulo ,mwanafunzi wa Shule ya Msingi akifafanua kuhusu bustani za Mboga mboga wanazolima shuleni hapo ili kuimarisha lishe,walipotembelewa na Maafisa wa Shirika la Marekani la kutoa misaa…
ZAIDI YA EKARI 300 ZA MAHINDI ZAHARIBIOWA NA WAFUGAJI WILAYANI KIOTETO
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
EKARI 300 za mazao ya mahindi kwenye eneo la Kaa Chini, Wilayani Kiteto Mkoani Manyara, zimeharibiwa baada ya kuliwa na mifugo kutokana na migogoro na mvutano baina ya jamii ya wafugaji na wakulima w…
ZAIDI YA MASKINI MILION 3 WASAIDIWA NA TASAF MIKOA YA ARUSHA NA NJOMBE
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mussa Juma, Arusha. MFUKO wa Maendeleo ya jamii(TASAF) leo umezindua mradi wa kupunguza umasikini kwa watu milioni 3.1 kutoka halmashauri 14 za mikoa ya Arusha na Njombe unaogharimu kiasi cha dola 16…
DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA PILI WA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII JIJINIO DSM LEO
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Mkutano Mkuu wa pili wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, uliofanyika Hoteli ya Serena jijin…