PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: HABARI PICHA-MAMIA YA WANAFUNZI WAKIANDAMANA KUADHIMISHA SIKU YA PAI DUNIANI KANUNI YA MAHESABU INAYOTUMIKA DUNIANI KOTE
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Sehemu ya umati wa wanafunzi walioandamana jana  katika maadhimisho ya siku ya Pai duniani kanuni maarufu ya hesabu inayotumika duniani ...

Sehemu ya umati wa wanafunzi walioandamana jana  katika maadhimisho ya siku ya Pai duniani kanuni maarufu ya hesabu inayotumika duniani kote,lengo la maandamano hayo yaliyoanzia kwa mkuu wa mkoa na kuishia shule ya msingi Arusha School ni kuhamasisha wanafunzi kupenda hesabu,kauli mbiu ni "Nafasi ya Hesabu katika maendeleo ya taifa.Picha na Ferdinand Shayo

24 Mar 2015

About Author

Advertisement

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

Top