PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: HABARI PICHA -MKURUGENZI WA VIJANA KANISA LA WADVENTISTA WASABATO KANDA YA AFRIKA MASHARIKI ,MCHUNGAJI JEAN PEARE MULUMBA AKIKABIDHI MSAADA WA MASHUKA 260 KWA KAIMU MGANGA MKUU WA HOSPITALI YA MOUNT MERU.
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mkurugenzi wa vijana Kanisa la Waadventista Wasabato kanda ya Afrika Mashariki na kati  Mchungaji Jean Peare Mulumba akikabidhi msaad...



Mkurugenzi wa vijana Kanisa la Waadventista Wasabato kanda ya Afrika Mashariki na kati  Mchungaji Jean Peare Mulumba akikabidhi msaada wa mashuka 260 ya wagonjwa wa Hospitali ya Mount Meru  kwa kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa Arusha  Jackline Urio jana katika hospitali hiyo ikiwa ni moja kati ya shughuli zinazofanywa na vijana wa kanisa hilo (hawako pichani)  kusaidia jamii.Picha na Ferdinand Shayo

Mkurugenzi wa vijana Kanisa la Waadventista Wasabato kanda ya Afrika Mashariki na katiMchungaji Jean Peare Mulumba akikabidhi msaada wa mashuka 260 ya wagonjwa wa Hospitali ya Mount Meru  kwa kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa Arusha  Jackline Urio jana katika hospitali hiyo ikiwa ni moja kati ya shughuli zinazofanywa na vijana wa kanisa hilo (hawako pichani)  kusaidia jamii.Picha na Ferdinand Shayo

Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa Arusha  Jackline Urio jana  Akionesha  msaada wa mashuka 260 yaliyotolewa na  Vijana Waadventista Wasabato katika hospitali hiyo ikiwa ni moja kati ya shughuli zinazofanywa na vijana wa kanisa hilo kusaidia jamii.Katikati ni Mkurugenzi wa vijana Kanisa la Waadventista Wasabato kanda ya Afrika Mashariki na kati Mchungaji Jean Peare Mulumba Picha na Ferdinand Shayo

 
 

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top