PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: WADAU WA UTALII JIJINI ARUSHA WATOA MSAADA KUBORESHA HUDUMA YA AFYA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
      WADAU wa utalii mkoani Arusha wamekabidhi msaada wa Vitanda 40 kumi  vikiwa ni vya kujifungulia wamama wajawazito na 30 ni ...
WADAU WA UTALII JIJINI ARUSHA WATOA MSAADA KUBORESHA HUDUMA YA AFYA

      WADAU wa utalii mkoani Arusha wamekabidhi msaada wa Vitanda 40 kumi  vikiwa ni vya kujifungulia wamama wajawazito na 30 ni vya kulalia wagonjwa wa kawaida kwenye kituo cha afya cha Murieti ji…

Read more »
31 May 2018

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: Kijana Aliyemuokoa Mtoto Toka Ghorofani Aanza Kazi Katika Jeshi la Zimamoto
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
      Hadi mwishoni mwa wiki iliyopita maisha ya Mamoudou Gassama, kijana wa Mali mwenye umri wa miaka 22 yalikuwa sawa na ya m...
Kijana Aliyemuokoa Mtoto Toka Ghorofani Aanza Kazi Katika Jeshi la Zimamoto
Kijana Aliyemuokoa Mtoto Toka Ghorofani Aanza Kazi Katika Jeshi la Zimamoto

      Hadi mwishoni mwa wiki iliyopita maisha ya Mamoudou Gassama, kijana wa Mali mwenye umri wa miaka 22 yalikuwa sawa na ya maelfu ya wahamiaji wanaohaha huku na kule barani Ulaya wakitafuta mais…

Read more »
31 May 2018

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: DKT. ASHATU KIJAJI AZIPONGEZA BENKI KUSHUSHA RIBA ZA MIKOPO
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), akifunga  warsha ya wadau wa Sekta ya F...
DKT. ASHATU KIJAJI AZIPONGEZA BENKI KUSHUSHA RIBA ZA MIKOPO

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), akifunga  warsha ya wadau wa Sekta ya Fedha iliyolenga kujadili mchango wa sekta hiyo katika kukuza uchum…

Read more »
31 May 2018

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: FOUNDATION FOR CIVIL SOCIETY WATOA SOMO KUELEKEA UCHAGUZI NCHINI
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mkurugenzi Mtendaji wa Foundation for Civil Society Bw. Francis Kiwanga akitoa ufafanuzi mbele ya wageni waalikwa mapema leo jijini Da...
FOUNDATION FOR CIVIL SOCIETY WATOA SOMO KUELEKEA UCHAGUZI NCHINI

Mkurugenzi Mtendaji wa Foundation for Civil Society Bw. Francis Kiwanga akitoa ufafanuzi mbele ya wageni waalikwa mapema leo jijini Dar es salaam wakati akifungua  mkutano wa kujadili nafasi ya As…

Read more »
30 May 2018

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: Sekta Ya Fedha Yatakiwa Kuongeza Ubunifu Katika Utoaji Wa Mikopo
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
  Na Benny Mwaipaja, WFM, Dodoma SERIKALI imeitaka Sekta ndogo ya Benki kuongeza ubunifu kwa kutoa mikopo ya muda mfupi na mrefu...
Sekta Ya Fedha Yatakiwa Kuongeza Ubunifu Katika Utoaji Wa Mikopo
Sekta Ya Fedha Yatakiwa Kuongeza Ubunifu Katika Utoaji Wa Mikopo

  Na Benny Mwaipaja, WFM, Dodoma SERIKALI imeitaka Sekta ndogo ya Benki kuongeza ubunifu kwa kutoa mikopo ya muda mfupi na mrefu ambayo itawezesha ukuaji wa sekta za viwanda na kilimo pamoja na waj…

Read more »
30 May 2018

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: Bunduki Ya Kivita Yaokotwa Vichakani Arusha
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
    Bunduki ya kivita aina ya AK 47, ikiwa na risasi nne ndani imeokotwa ndani ya vichaka katika Kijiji cha Naan, Wilaya ya ...
Bunduki Ya Kivita Yaokotwa Vichakani Arusha
Bunduki Ya Kivita Yaokotwa Vichakani Arusha

    Bunduki ya kivita aina ya AK 47, ikiwa na risasi nne ndani imeokotwa ndani ya vichaka katika Kijiji cha Naan, Wilaya ya Ngorongoro mjini Arusha. Akizungumza na waandishi wa habari leo Mei 29, K…

Read more »
30 May 2018

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: Mama Wema Sepetu Asema Mtoto Wake Yupo India Kwa Matibabu
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeshindwa kuendelea na kesi inayomkabili staa wa filamu nchini, Wema Sepetu,  anayekabiliwa ...
Mama Wema Sepetu Asema Mtoto Wake Yupo India Kwa Matibabu
Mama Wema Sepetu Asema Mtoto Wake Yupo India Kwa Matibabu

  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeshindwa kuendelea na kesi inayomkabili staa wa filamu nchini, Wema Sepetu,  anayekabiliwa na kesi ya kutumia dawa za kulevya ambapo ameshindwa kufika katika mah…

Read more »
30 May 2018

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: RAIS NA MWENYEKITI WA CCM DKT MAGUFULI AONGONZA MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA (NEC) YA CCM JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahman Kinana wakati akisoma muhtasari wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) wa Chama cha Mapinduzi ...
RAIS NA MWENYEKITI WA CCM DKT MAGUFULI AONGONZA MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA (NEC) YA CCM JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahman Kinana wakati akisoma muhtasari wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Katika ukumbi wa Kikwete jijini Dar es salaam leo Juma…

Read more »
28 May 2018

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: DCP MKUMBO AWAAGA ASKARI, AMKARIBISHA RPC RAMADHANI NG’ANZI KUANZA KAZI RASMI
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
    Aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha Naibu Kamishna (DCP) Charles Mkumbo (Mwenye suti ya Kijivu) akimkarib...
DCP MKUMBO AWAAGA ASKARI, AMKARIBISHA RPC RAMADHANI NG’ANZI KUANZA KAZI RASMI

   Aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha Naibu Kamishna (DCP) Charles Mkumbo (Mwenye suti ya Kijivu) akimkaribisha Kamanda mpya wa Polisi mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (S…

Read more »
28 May 2018

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: MRISHO GAMBO AMUWEKA LEMA PABAYA, ALITAKA JIMBO LA ARUSHA MJINI KWA GHARAMA YOYOTE
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
  Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo ameanza mapema Kuliwania jimbo la Arusha Mjini kuwa Mali ya chama cha Mapinduzi na ...
MRISHO GAMBO AMUWEKA LEMA PABAYA, ALITAKA JIMBO LA ARUSHA MJINI KWA GHARAMA YOYOTE
MRISHO GAMBO AMUWEKA LEMA PABAYA, ALITAKA JIMBO LA ARUSHA MJINI KWA GHARAMA YOYOTE

  Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo ameanza mapema Kuliwania jimbo la Arusha Mjini kuwa Mali ya chama cha Mapinduzi na kuliondoa upinzani linakoshikiliwa na mbunge wa Sasa Godless Lema kupitia cham…

Read more »
28 May 2018

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: TAWIRI YAOMBWA KUAINISHA MAENEO YA MAPITO YA WANYAMA KATIKA IKOLOJIA YA TARANGIRE
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mhifadhi Mkuu wa hifadhi ya taifa ya Tarangire,Herman Batiho akizungumza na wanahabari juu ya kukabiliwa na changamoto ya kubaki kisiwa...
TAWIRI YAOMBWA KUAINISHA MAENEO YA MAPITO YA WANYAMA KATIKA IKOLOJIA YA TARANGIRE

Mhifadhi Mkuu wa hifadhi ya taifa ya Tarangire,Herman Batiho akizungumza na wanahabari juu ya kukabiliwa na changamoto ya kubaki kisiwa kutokana na uvamizi wa watu katika baadhi ya maeneo ya hifadh…

Read more »
27 May 2018
 
Top