Home
»
KITAIFA
»
Matukio
»
Siasa
» RAIS NA MWENYEKITI WA CCM DKT MAGUFULI AONGONZA MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA (NEC) YA CCM JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Title: RAIS NA MWENYEKITI WA CCM DKT MAGUFULI AONGONZA MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA (NEC) YA CCM JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5
Des:
Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahman Kinana wakati akisoma muhtasari wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) wa Chama cha Mapinduzi ...
Katibu
Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahman Kinana wakati akisoma muhtasari wa Mkutano
wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Katika
ukumbi wa Kikwete jijini Dar es salaam leo Jumatatu Mei 28, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Mkutano
wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Katika
ukumbi wa Kikwete jijini Dar es salaam leo Jumatatu Mei 28, 2018
Wajumbe wakimshangilia Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Dkt. John
Pombe Magufuli wakati akiwataja Ndg. Mizengo Pinda na Ndg. Makongoro
Nyerere majina yao na kuombea kuwa wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu
ya Taifa (NEC) wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika ukumbi wa Kikwete
jijini Dar es salaam leo Jumatatu Mei 28, 2018
Wajumbe
wakishangilia baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na
Mwenyekiti wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli kuwaita Ndg. Mizengo Pinda
na Ndg. Makongoro Nyerere waingie ukumbini baada ya kukubaliwa kuwa
wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) katika ukumbi wa Kikwete jijini Dar es salaam leo
Jumatatu Mei 28, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Dkt. John
Pombe Magufuli na meza kuu wakishangilia baada ya kuwaita Ndg. Mizengo
Pinda na Ndg. Makongoro Nyerere waingie ukumbini baada ya kukubaliwa
kuwa wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) katika ukumbi wa Kikwete jijini Dar es salaam leo
Jumatatu Mei 28, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Mkutano
wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Katika
ukumbi wa Kikwete jijini Dar es salaam leo Jumatatu Mei 28, 2018
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Makamu
Mwenyekiti wa CCM (Visiwani) Dkt. Ali Mohamed Shein akipendekeza majina
ya wanachama wa CCM kutoka visiwani wataopigiwa kura kuwa wajumbe Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ukumbi wa Kikwete leo Jumatatu Mei 28, 2018
Post a Comment