PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: WARIOBA AMCHANA LIVE PROF. SHIVJI
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza na waandishi wa g...
WARIOBA AMCHANA LIVE PROF. SHIVJI
WARIOBA AMCHANA LIVE PROF. SHIVJI

Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza na waandishi wa gazeti hili, nyumbani kwake jijini Dar es Salaam jana. Picha …

Read more »
31 Mar 2014

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: MTIZAME BIBI WA MIAKA 100 AHITIMU ELIMU YA MSINGI!!!!!!!!!!!!
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Bibi mmoja nchini Mexico amefanikiwa kuhitimu elimu ya shule ya msingi akiwa na umri wa miaka 100. Bibi huyo Manuela Hernandez (picha...
MTIZAME BIBI WA MIAKA 100 AHITIMU ELIMU YA MSINGI!!!!!!!!!!!!

Bibi mmoja nchini Mexico amefanikiwa kuhitimu elimu ya shule ya msingi akiwa na umri wa miaka 100. Bibi huyo Manuela Hernandez (pichani) ambaye alizaliwa katika jimbo la Oaxaca mnamo mwezi Juni…

Read more »
31 Mar 2014

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: WABUNGE SASA KUANZA KUPITIA RASIMU YA KATIBA!!
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Wajumbe wa Bunge la Katiba. Bunge Maalumu la Katiba linaendelea na kikao chake na miongoni mwa shughuli zinazotarajiwa kufanywa ku...
WABUNGE SASA KUANZA KUPITIA RASIMU YA KATIBA!!
WABUNGE SASA KUANZA KUPITIA RASIMU YA KATIBA!!

Wajumbe wa Bunge la Katiba. Bunge Maalumu la Katiba linaendelea na kikao chake na miongoni mwa shughuli zinazotarajiwa kufanywa kuanzia leo, ni kurekebisha baadhi ya kanuni za uendeshaji wak…

Read more »
31 Mar 2014

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: HABARI ZA MOROGORO: Mvua za leta tena maafa Morogoro!
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
MVUA kubwa iliyoambatana na Upepo mkali, imeezua na kuangusha baadhi ya Mahema ya muda yanayotumiwa na Waathirika wa Mafuriko ya...
HABARI ZA MOROGORO: Mvua za leta tena maafa Morogoro!
HABARI ZA MOROGORO: Mvua za leta tena maafa Morogoro!

MVUA kubwa iliyoambatana na Upepo mkali, imeezua na kuangusha baadhi ya Mahema ya muda yanayotumiwa na Waathirika wa Mafuriko yaliyotokea katika eneo la Matepeni na Magole Wilayani Kilosa Mkoani Mo…

Read more »
31 Mar 2014

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: HABARI ZA IRINGA: Kitu chenye ncha kali chakatisha uhai wa mtu,mwanafunzi wa sekondari ashikiliwa kwa kutoa mimba,Iringa!
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
  Kaimu Kamanda wa polisi mkoa wa Iringa  ACP Wankyo Nyigesa Mtu mmoja   amefariki dunia mkoani Iringa   kwa kukatwa na kitu c...
HABARI ZA IRINGA: Kitu chenye ncha kali chakatisha uhai wa mtu,mwanafunzi wa sekondari ashikiliwa kwa kutoa mimba,Iringa!
HABARI ZA IRINGA: Kitu chenye ncha kali chakatisha uhai wa mtu,mwanafunzi wa sekondari ashikiliwa kwa kutoa mimba,Iringa!

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE

Read more »
31 Mar 2014

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: SERIKALI KUTENGA Milion 500 kujenga Nyumba za Waalimu Nchini!
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
SERIKALI imetenga kiasi cha Shilingi milioni 500 kwa Halmashauri 41 Nchini, kwa ajili ya Ujenzi wa Nyumba bora za Waalimu, ili ku...
SERIKALI KUTENGA Milion 500 kujenga Nyumba za Waalimu Nchini!
SERIKALI KUTENGA Milion 500 kujenga Nyumba za Waalimu Nchini!

SERIKALI imetenga kiasi cha Shilingi milioni 500 kwa Halmashauri 41 Nchini, kwa ajili ya Ujenzi wa Nyumba bora za Waalimu, ili kuwajengea mazingira mazuri wanapokuwa katika maeneo ya kazi. Rais J…

Read more »
31 Mar 2014

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: HABARI ZA PWANI: Ajali yaua 21 Pwani, yajeruhi 10!
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
WATU Ishirini na moja (21) wamefariki dunia na wengine 9 wamejeruhiwa vibaya, baada ya gari walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa us...
HABARI ZA PWANI: Ajali yaua 21 Pwani, yajeruhi 10!
HABARI ZA PWANI: Ajali yaua 21 Pwani, yajeruhi 10!

WATU Ishirini na moja (21) wamefariki dunia na wengine 9 wamejeruhiwa vibaya, baada ya gari walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori katika kijiji cha Mkupoka, Wilayani Rufiji katika M…

Read more »
31 Mar 2014

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: HUYU NDIYE MWANAMKE ALIYEIBUKA KIDEDEA KATIKA TUZO YA MWANAMKE BORA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amewataka wanawake walioteuliwa kwenye Tuzo ya Mwanamke Bora wa mwaka 2013/2014 wasibweteke bali waendele...
HUYU NDIYE MWANAMKE ALIYEIBUKA KIDEDEA KATIKA TUZO YA MWANAMKE BORA
HUYU NDIYE MWANAMKE ALIYEIBUKA KIDEDEA KATIKA TUZO YA MWANAMKE BORA

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amewataka wanawake walioteuliwa kwenye Tuzo ya Mwanamke Bora wa mwaka 2013/2014 wasibweteke bali waendeleze juhudi zao na wazidi kung’ara zaidi. Ametoa wito huo jana usiku (…

Read more »
30 Mar 2014

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: Balozi Seif : Serikali haitokubali kuchezewa kwa amani iliopo
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Kitope Balozi Seif Ali Iddi akimkabidhi vifaa mbali mbali Mwenyekiti wa Maskan...
Balozi Seif : Serikali haitokubali kuchezewa kwa amani iliopo

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Kitope Balozi Seif Ali Iddi akimkabidhi vifaa mbali mbali Mwenyekiti wa Maskani ya Tupendane ya Kazole kwa ajili ya uendelezaji ujenzi wa …

Read more »
30 Mar 2014

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: VYAMA VYA UPINZANI VYAUNDA UMOJA WAO WA KATIBA KUSHAWISHI WANANCHI...
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Wajumbe wakifuatilia Bunge Maalumu la Katiba .Baada ya kuunda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) ndani ya Bunge Maalum la Katiba...
VYAMA VYA UPINZANI VYAUNDA UMOJA WAO WA KATIBA KUSHAWISHI WANANCHI...
VYAMA VYA UPINZANI VYAUNDA UMOJA WAO WA KATIBA KUSHAWISHI WANANCHI...

Wajumbe wakifuatilia Bunge Maalumu la Katiba .Baada ya kuunda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) ndani ya Bunge Maalum la Katiba, vyama vya siasa vya upinzani, vimeunda umoja wa aina hiyo nje ya bun…

Read more »
30 Mar 2014

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: MKUU WA WILAYA YA KAHAMA ALIAGIZA JESHI LA POLISI KUMSAKA MTENDEJI ALIYEMTOROSHA MKULIMA WA BANGI..!!
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mkuu wa wilaya ya Kahama Benson Mpesya (kulia) akitoa agizo hilo kwa mkuu wa kituo cha polisi Kahama Elias Haway na mkuu wa Upelelezi Wilaya...
MKUU WA WILAYA YA KAHAMA ALIAGIZA JESHI LA POLISI KUMSAKA MTENDEJI ALIYEMTOROSHA MKULIMA WA BANGI..!!

Mkuu wa wilaya ya Kahama Benson Mpesya (kulia) akitoa agizo hilo kwa mkuu wa kituo cha polisi Kahama Elias Haway na mkuu wa Upelelezi Wilaya Twaha Juma. Mkuu wa wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, Bens…

Read more »
30 Mar 2014

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: Kinana aichambua Tume ya Warioba
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisisitiza jambo jukwaani. Picha na Mpigapicha wetu   *********** Katibu Mkuu wa CCM, Abdulr...
Kinana aichambua Tume ya Warioba
Kinana aichambua Tume ya Warioba

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisisitiza jambo jukwaani. Picha na Mpigapicha wetu  *********** Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana ameikosoa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, akidai imeshind…

Read more »
30 Mar 2014

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: MAGUFULI Avutia Kampuni kubwa za Ujenzi kutoka Uturuki kuja Tanzania
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya KAYA Bw. Orhan Babaoglu (kushoto) akiwasilisha kwa Waziri wa Ujenzi Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, utambuli...
MAGUFULI Avutia Kampuni kubwa za Ujenzi kutoka Uturuki kuja Tanzania

Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya KAYA Bw. Orhan Babaoglu (kushoto) akiwasilisha kwa Waziri wa Ujenzi Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, utambulisho wa makampuni ya Uturuki ambayo yamefungua ofisi hapa nchini …

Read more »
30 Mar 2014

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: WAJUMBE BUNGE LA KATIBA WAANZA KUJUTIA MAMILIONI YA POSHO ZAO...
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
  Baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanajutia posho wanayoendelea kupata wakati bunge likivurugika mara kwa mara na kusababis...
 WAJUMBE BUNGE LA KATIBA WAANZA KUJUTIA MAMILIONI YA POSHO ZAO...
WAJUMBE BUNGE LA KATIBA WAANZA KUJUTIA MAMILIONI YA POSHO ZAO...

  Baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanajutia posho wanayoendelea kupata wakati bunge likivurugika mara kwa mara na kusababisha kuahirishwa, hivyo kuzua wasiwasi wa kutotekelezwa maleng…

Read more »
28 Mar 2014

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: ASKOFU WA KANISA LA ANGELIKANA DAYOSISI YA CENTRAL TANGANYIKA, GODFREY MHOGOLO AFARIKI DUNIA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
  ASKOFU wa Dayosisi ya Central Tanganyika, Godfrey Mhogolo amefariki dunia leo Nchini Afrika Kusini alikokuwa amekwenda kwa matitabu...
 ASKOFU WA KANISA LA ANGELIKANA DAYOSISI YA CENTRAL TANGANYIKA, GODFREY MHOGOLO AFARIKI DUNIA
ASKOFU WA KANISA LA ANGELIKANA DAYOSISI YA CENTRAL TANGANYIKA, GODFREY MHOGOLO AFARIKI DUNIA

  ASKOFU wa Dayosisi ya Central Tanganyika, Godfrey Mhogolo amefariki dunia leo Nchini Afrika Kusini alikokuwa amekwenda kwa matitabu.. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kanisa la Angilikana…

Read more »
28 Mar 2014

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: UN: Kura ya maoni kuhusu Crimea si halali
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Umoja wa mataifa unaunga mkono uhuru wa Ukraine Baraza la umoja wa mataifa limetangaza matokeo ya azimio ambalo limeharamisha hatua ya Urusi...
UN: Kura ya maoni kuhusu Crimea si halali
UN: Kura ya maoni kuhusu Crimea si halali

Umoja wa mataifa unaunga mkono uhuru wa UkraineBaraza la umoja wa mataifa limetangaza matokeo ya azimio ambalo limeharamisha hatua ya Urusi kuandaa kura ya maoni kuhusu eneo laCrimea na kuunga mkono u…

Read more »
28 Mar 2014

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: Watu 4 waambukizwa Ebola Conakry
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Ni mara ya kwanza kwa Ebola kuzuka Conakry Watu wanne wamethibitishwa kuugua ugonjwa hatari wa Ebola katika mji mkuu wa Guinea,Conakry...
Watu 4 waambukizwa Ebola Conakry

Ni mara ya kwanza kwa Ebola kuzuka Conakry Watu wanne wamethibitishwa kuugua ugonjwa hatari wa Ebola katika mji mkuu wa Guinea,Conakry.Wataalamu wa afya wamesema kuwa wamewatenga wanne hao katika wadi…

Read more »
28 Mar 2014

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: SEIF: HATUKO TAYARI KUJADILI SERIKALI MBILI
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mapendekezo yaliyowasilishwa na Jaji Warioba hayakuwa maoni yake, yale ni maoni ya wananchi, Tanganyika imevaa koti la Muungano, ametoa ...
SEIF: HATUKO TAYARI KUJADILI SERIKALI MBILI
SEIF: HATUKO TAYARI KUJADILI SERIKALI MBILI

Mapendekezo yaliyowasilishwa na Jaji Warioba hayakuwa maoni yake, yale ni maoni ya wananchi, Tanganyika imevaa koti la Muungano, ametoa ushahidi wake ili kujenga mwafaka katika kuendeleza Muungano we…

Read more »
28 Mar 2014

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: National At a crossroads
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
  Mr Samuel Sitta, the Constituent Assembly chair faces a daunting task amid squabbles within the august House and the CUF decision to ...
 National At a crossroads
National At a crossroads

  Mr Samuel Sitta, the Constituent Assembly chair faces a daunting task amid squabbles within the august House and the CUF decision to order its MCAs to quit the Constitution writing process in Dod…

Read more »
27 Mar 2014

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: Walaghaiwa kushiriki ukahaba China
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Wasichana hulazimishwa kushiriki ukahaba.  Serik...
Walaghaiwa kushiriki ukahaba China
Walaghaiwa kushiriki ukahaba China

Wasichana hulazimishwa kushiriki ukahaba.  Serikali ya Tanzania imesema kuwa imebaini kuwepo kwa biashara haramu ya k…

Read more »
27 Mar 2014

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: Mkuu wa Jeshi kugombea Urais Misri
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
  Al Sisi alitazamiwa kujiuzulu na...
Mkuu wa Jeshi kugombea Urais Misri

  Al Sisi alitazamiwa kujiuzulu na anatarajiwa kushinda kwa ukubwa.   Mkuu wa majeshi na waziri wa …

Read more »
27 Mar 2014

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: Mwandishi Uingereza aibua mapya meno ya tembo Tanzania
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
    Mwandishi wa gazeti la Daily Mail  la Uingereza, Martin Fletcher akiwa katika chumba cha kuhifadhi meno ya tembo katika...
Mwandishi Uingereza aibua mapya meno ya tembo Tanzania
Mwandishi Uingereza aibua mapya meno ya tembo Tanzania

    Mwandishi wa gazeti la Daily Mail  la Uingereza, Martin Fletcher akiwa katika chumba cha kuhifadhi meno ya tembo katika Wizara ya Maliasili na Utalii jijini Dar es Salaam ambako zaidi ya meno 34,…

Read more »
27 Mar 2014
 
Top