PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: ASKOFU WA KANISA LA ANGELIKANA DAYOSISI YA CENTRAL TANGANYIKA, GODFREY MHOGOLO AFARIKI DUNIA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
  ASKOFU wa Dayosisi ya Central Tanganyika, Godfrey Mhogolo amefariki dunia leo Nchini Afrika Kusini alikokuwa amekwenda kwa matitabu...
 




ASKOFU wa Dayosisi ya Central Tanganyika, Godfrey Mhogolo amefariki
dunia leo Nchini Afrika Kusini alikokuwa amekwenda kwa matitabu.. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kanisa la Angilikana Dodoma jana, ilisema kuwa Askofu Mhogolo kabla ya kufikwa na mauti alikuwa akitibiwa katika hospitali ya Milpark huko Johanesburg, Afrika Kusini. Askofu Mhogolo alikuwa askofu wa tano wa dayosisi ya Central Tanganyika na atazikwa katika viwanja vya kanisa Kuu la Roho Mtakatifu Mjini Dodoma. Hata hivyo Mchungaji Michael Nchimbi alisema mipango ya mazishi inaendelea na taarifa zitatolewa baadaye. Mungu ametoa na sasa ametwaa Jina lake lihimidiwe.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top