Umoja wa mataifa unaunga mkono uhuru wa Ukraine
Baraza la umoja wa mataifa limetangaza matokeo ya azimio ambalo limeharamisha hatua ya Urusi kuandaa kura ya maoni kuhusu eneo laCrimea na kuunga mkono uhuru wa Ukraine.
Nchi 100 zimepiga kura kuunga mkono Azimio hilo huku nchi 11 zikipinga.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.