Home
»
»Unlabelled
» MTIZAME BIBI WA MIAKA 100 AHITIMU ELIMU YA MSINGI!!!!!!!!!!!!
Bibi mmoja nchini Mexico amefanikiwa
kuhitimu elimu ya shule ya msingi akiwa
na umri wa miaka 100.
Bibi huyo Manuela Hernandez (pichani)
ambaye alizaliwa katika jimbo la Oaxaca
mnamo mwezi Juni 1913, aliacha shule ya
msingi baada ya kusoma kwa mwaka
mmoja tu na kurejea kuisaidia familia
yake masikini kufanya kazi za nyumbani.
Hata hivyo alirejea shule kuendelea na
masomo mwezi Oktoba mwaka uliopita
akiwa na miaka 99 kufuatia kushauriwa
na mmoja wa wajukuu zake.
Manuela Hernandez akiwa ameshikiliacheti chake cha kuhitimu elimu ya msingi.Hivi sasa tayari amekabidhiwa diplomayake ya elimu ya msingi katika shereheiliyofanyika katika jimbo Mexico Kusini.Bibi Hernandez amesema sasa ataendeleana masomo ya elimu ya sekondari.Zaidi ya nusu ya wakazi wa jimbo laOaxaca wenye umri wa zaidi ya miaka 15hawajamaliza elimu ya msingi.
31
Mar
2014
About Author

Advertisement

Recent Posts
- The Maasai Families in Longido District allegedly use baptism ceremonies to conceal FGM practices17 Sep 20240
By our Reporter in Longido Some Maasai families in Longido District, Arusha Region ar...Read more »
- Tanzanian Shillings 6.56 Trillion Investment in the JNHPP Project Bears Fruits for the Nation14 Sep 20240
By Our ReporterThe Public Investments Committee (PIC) of Parliament visited the construction site of...Read more »
- 35 teams set to battle in Chem Chem Cup 2024: Sh78 million up for grabs10 Sep 20240
By Mussa Juma, MaipacBabati. A total of 35 teams will participate in the 2024 Chem Chem Cup, costin...Read more »
- Mwiba holdings Donates house for Health Workers and 194 bicycles to Meatu students.29 Aug 20240
By Our Staff Writer in MeatuMwiba Holdings Ltd, a tourism and conservation investment company ...Read more »
- Mount Kilimanjaro porters' jobs in jeopardy due to foreign influence and controversial practices29 Aug 20240
KPAP's influence has shifted the tourism market, with foreign agents favoring their affiliates over ...Read more »
- Tanzania ramps up health education amid Mpox threat25 Aug 20240
By Staff WriterIn a bold move to safeguard Tanzania from the looming threat of Mpox, the Ministry o...Read more »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.