Maonesho ya Wiki ya Usalama na Afya mahala pa kazi yanayofanyika Moshi mkoani Kilimanjaro. Maonesho haya yanayohusisha kampuni na Taasisi mbalimbali nchini yanaratibiwa na Wakala wa Usalama na Afya…
MOBISOL YAMPATA MSHINDI WA HAMASIKA NA MASIKA, AJINYAKULIA PESA TASLIMU
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mshindi wa kwanza wa droo ya Hamasika na Masika Eliudi Yona aliyepo upande wa kulia mkazi wa maji ya chai mkoani Arusha akikabidhiwa kitita cha shilingi laki mbili na mratibu wa masoko nchini wa kamp…
SERIKALI IMEAHIDI KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA JIJI LA ARUSHA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Serikali mkoani Arusha imeahdi kuendelea kuboresha huduma za afya kwenye vituo vya afya ,pamoja na Zahanati mbalimbali zilizopo katika jiji la Arusha. Hayo yamebainishwa na mkuu wa mkoa wa Arusha B…
Ray Kigosi afunguka Mambo Mazito kuhusu marehemu Kanumba Kuhusishwa na Uchawi na Freemason
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Msanii wa filamu nchini Ray Kigosi amefunguka na kusema kuwa baadhi wa Watanzania ni wanafiki na wamekuwa wakikatisha tamaa watu katika mambo yao kutokana na unafiki wao. Ray Kigosi amesema hayo …
PADRE WA KANISA KATOLIKI AFUNGA NDOA DARESALAAM
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Miaka tisa baada ya kuvuliwa upadri wa Kanisa Katoliki, Privatus Kargendo jana alifunga ndoa na mchumba wake Rose Birusya. Ndoa hiyo ilifungwa katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es Salaam…
MAONESHO YA WIKI YA USALAMA NA AFYA KAZINI 2017 MKOANI KILIMANJARO
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Maonesho ya wiki ya usalama na afya kazini yameanza leo siku ya Jumatano tarehe 26/04/2017 katika viwanja vya Ushirika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro ambapo taasisi mbalimbali za serikali na binafs…
RC GAMBO AZINDUA BARABARA ARUSHA,AKAGUA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO , SAMBAMBA NA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI WA ARUSHA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gamboa akiwa ameshika mkasi ishara ya kukata utepe katika uzunduzi wa barabara ya St.James na Mahakamani leo Jijini Arusha,Kulia kwake ni mkuu wa wilaya ya Arusha mjini …
MFAHAMU Rais Mpya wa Ufaransa Emmanuel Marcon..Amemuoa Mwalimu Wake Aliyemzidi Zaidi ya Miaka 24..Alianza Kutembea Naye Toka Akiwa na Miaka 17..!!
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
EMMANUEL MARCON mwenye umri wa miaka 39 ndiye anayetarajiwa kuwa rais ajaye wa Ufaransa. Pamoja na hayo, Marcon ambaye ameoa mke mwenye umri wa miaka 64 ,ana mambo mengi ya kufurahisha na kuvutia mai…
Sakata la Lugumi larejea tena ni katika magazeti ya leo pita hapa ujionee
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Good Morning mtu wa nguvu, leo ni April 27 2017 na kama ilivyo kawaida yangu ya kila siku alfajiri nimekusogezea habari kubwa kwenye Magazeti kurasa za mwanzo na mwisho kuanzia ya Udaku, Hardnews na …