Home
»
KIMATAIFA
» MFAHAMU Rais Mpya wa Ufaransa Emmanuel Marcon..Amemuoa Mwalimu Wake Aliyemzidi Zaidi ya Miaka 24..Alianza Kutembea Naye Toka Akiwa na Miaka 17..!!
EMMANUEL MARCON mwenye umri wa miaka 39 ndiye anayetarajiwa kuwa rais ajaye wa Ufaransa.
Pamoja na hayo, Marcon ambaye ameoa mke mwenye umri wa miaka 64 ,ana mambo mengi ya kufurahisha na kuvutia maishani mwake hususan kuhusiana na mkewe huyo ambaye anamzidi umri kwa kiasi cha miaka zaidi ya 24.
Mkewe huyo alikuwa ni mwalimu wake wa darasa miaka ipatayo 24 iliyopita ambapo mwalimu wake wa darasa wakati huo alikuwa na binti ambaye alikuwa mwanafunzi mwenzake darasa moja. Wakati huo, kila mtu, wakiwemo wazazi wake Marcon, walifikiri binti huyo wa mwalimu alikuwa rafiki yake, wakati hawakuwa hivyo.
Katika mlolongo huo wa vituko, Marcon alijikuta katika mapenzi na mwalimu wake wakati yeye akiwa na umri wa miaka 15 ambapo wakati huo, mwalimu huyo alikuwa ameolewa akiishi kwa furaha na akiwa na watoto watatu
Alipofikisha umri wa miaka 17, aliamua kumuoa mwalimu huyo, wakati huo akiwa na umri wa miaka 42.
apendanao hao walifunga pingu za upendo mwaka 2007 wakati huo ‘mlume’ huyo akiwa na umri wa miaka 30 na ‘mrembo’ wake akiwa anapiga hodi katika umri wa miaka 55.
Mwanandoa huyo wa kiume anatarajiwa kuapishwa kuwa Rais wa Ufaransa mwezi ujao akiwa amebakiza miezi sita kufikisha umri wa miaka 40 wakati ambapo kipenzi chake, yaani mkewe, ana watoto (watu wazima) watatu na wajukuu saba sasa.
Ni vyema pia kufahamu kwamba mtoto wa kwanza wa mkewe huyo anamzidi Marcon kwa umri wa miaka miwili, wakati ambapo mtoto wake wa pili, aliyekuwa kipenzi na mwanafunzi mwenzake na Marcon wakiwa darasa moja, wanalingana umri.
About Author

Advertisement

Related Posts
- RAIS MSTAAFU DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE ASHINDA TUZO YA KIONGOZI WA AMANI NA USALAMA WA MWAKA 2023 YA JARIDA LA UONGOZI WA AFRIKA16 Mar 20240
Rais Mstaafu Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, akikabidhiwa tuzo yake na Waziri wa Mapato wa Jamhuri ...Read more »
- FRIEDKIN CONSERVATION FUND WATOA MILLIONI 84 KUSAIDIA MIRADI YA MAENDELEO KWA JAMII YA MOYOWOSI, UVINZA NA UGALA02 Oct 20180
Baadhi ya wakurugenzi na viongozi wa Friedkin Conservation Fund wakiwa katika maonesho ya na...Read more »
- Kijana Aliyemuokoa Mtoto Toka Ghorofani Aanza Kazi Katika Jeshi la Zimamoto31 May 20180
Hadi mwishoni mwa wiki iliyopita maisha ya Mamoudou Gassama, k...Read more »
- Ndege ya Malaysia iliyopotea na watu 298 mwaka 2014 ilipigwa na Kombora25 May 20180
Taarifa mpya ya kuifahamu leo May 25, 2018 ni kuhusu Wapelelezi wa Uholan...Read more »
- Papa Francis Ataka Kanisa Lifunge Kuombea DRC, Sudan Kusini23 Feb 20180
Papa Francis ametangaza Ijumaa ya Februari 23 kuwa siku ya kufunga na sala kwa ajili ya kuziombea...Read more »
- Arsene Wenger Afungiwa na Chama cha Soka cha England06 Jan 20180
Chama Cha soka cha England FA kimetangaza kumfungia kocha wa club ya Arsenal ya England Arsene We...Read more »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.