Sehemu
ya Waombolezaji wakiwa wamebeba Jeneza lenye mwili wa aliekuwa
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Mhandisi
Suleiman Said Suleima, wakati wakiwasili kwenye Makaburi ya Kisutu
jijini Dar es salaam leo kwa ajili ya mazishi.
Sehemu
ya Waombolezaji wakiwa kwenye Mazishi ya aliekuwa Mkurugenzi Mkuu wa
Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Mhandisi Suleiman Said
Suleima, yaliyofanyika kwenye Makaburi ya Kisutu, Jijini Dar es salaam.
Post a Comment