Kaimu
Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Fortunatus Kapinga,
akizungumza na waandishi wa habari, Makao Makuu ya shirika hilo, Dar es
Salaam leo, kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu utendaji wa shirika
kwa mwaka uliopita na mipango ya shirika kwa mwaka 2016, wakati wa
maadhimisho ya Siku ya Posta barani Afrika. yanayoadhimishwa Januari 18
ya kila mwaka.Kushoto ni Kaimu Meneja Mkuu Uendeshaji Biashara za Shirika, Janeth Msofe.
Mkuu
wa Uhusiano Shirika la Posta Tanzania (TPC), Wilfred Miigo, akitoa
utambulisho wakati wa maadhimisho ya Siku ya Posta Barani Afrika leo
jijini Dar es Salaam. Katikati waliokaa ni Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika hilo, Fortunatus Kapinga, kushoto ni Kaimu Meneja Mkuu Uendeshaji Biashara za Shirika, Janeth Msofe na kulia ni Meneja Mkuu Rasilimali za Shirika, John Lukonge. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Kaimu
Meneja Shughuli za Biashara za Fedha, Mourus Obwana, akijitambulisha
wakati wa mkutano na waandishi wa habari katika maadhimisho ya Siku ya
Posta Barani Afrika leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Meneja Barua na
Logistik, Fadya Zam na kulia ni Meneja Mifumo ya Mawasilano, David
Mtake.
Meneja
Mifumo ya Mawasilano, David Mtake, akijitambulisha katika mkutano wa
maadhimisho hayo. Kulia ni Meneja Masoko, David George.SOMA ZAIDI BOFYA HAPA.
Kaimu
Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Fortunatus Kapinga,
akizungumza na waandishi wa habari, Makao Makuu ya shirika hilo, Dar es
Salaam leo, kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu utendaji wa shirika
kwa mwaka uliopita na mipango ya shirika kwa mwaka 2016, wakati wa
maadhimisho ya Siku ya Posta barani Afrika. yanayoadhimishwa Januari 18
ya kila mwaka. Kushoto ni Kaimu Meneja Mkuu Uendeshaji Biashara za
Shirika, Janeth Msofe na kulia ni Meneja Mkuu Rasilimali za Shirika,
John Lukonge.
Kaimu
Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Fortunatus Kapinga,
akizungumza na waandishi wa habari, Makao Makuu ya shirika hilo, Dar es
Salaam leo, kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu utendaji wa shirika
kwa mwaka uliopita na mipango ya shirika kwa mwaka 2016, wakati wa
maadhimisho ya Siku ya Posta barani Afrika. yanayoadhimishwa Januari 18
ya kila mwaka.
Baadhi ya Maofisa wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakimsikiliza Kaimu Postamasta Mkuu wa shirika hilo, Fortunatus
Kapinga, wakati akizungumza na waandishi wa habari, Makao Makuu ya
shirika hilo, Dar es Salaam leo, kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu
utendaji wa shirika kwa mwaka uliopita na mipango ya shirika kwa mwaka
2016, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Posta barani Afrika.
yanayoadhimishwa Januari 18 ya kila mwaka.
Baadhi ya waandishi wa habari, wakimsiliza na kuandika habari zilizokuwa zikitolewa na Kaimu Postamasta Mkuu wa shirika hilo, Fortunatus
Kapinga, wakati akizungumza nao, Makao Makuu ya shirika hilo, Dar es
Salaam leo, kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu utendaji wa shirika kwa
mwaka uliopita na mipango ya shirika kwa mwaka 2016, wakati wa
maadhimisho ya Siku ya Posta barani Afrika. yanayoadhimishwa Januari 18
ya kila mwaka.
Kaimu
Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Fortunatus Kapinga,
akizungumza na waandishi wa habari, Makao Makuu ya shirika hilo, Dar es
Salaam leo, kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu utendaji wa shirika
kwa mwaka uliopita na mipango ya shirika kwa mwaka 2016, wakati wa
maadhimisho ya Siku ya Posta barani Afrika. yanayoadhimishwa Januari 18
ya kila mwaka. Kulia ni Meneja Mkuu Rasilimali za Shirika, John Lukonge.
Baadhi ya waandishi wa habari, wakimsiliza na kuandika habari zilizokuwa zikitolewa na Kaimu Postamasta Mkuu wa shirika hilo, Fortunatus
Kapinga, wakati akizungumza nao, Makao Makuu ya shirika hilo, Dar es
Salaam leo, kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu utendaji wa shirika kwa
mwaka uliopita na mipango ya shirika kwa mwaka 2016, wakati wa
maadhimisho ya Siku ya Posta barani Afrika. yanayoadhimishwa Januari 18
ya kila mwaka.
Baadhi ya waandishi wa habari na Maofisa wa Shirika wakimsiliza na kuandika habari zilizokuwa zikitolewa na Kaimu Postamasta Mkuu wa shirika hilo, Fortunatus
Kapinga, wakati akizungumza nao, Makao Makuu ya shirika hilo, Dar es
Salaam leo, kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu utendaji wa shirika kwa
mwaka uliopita na mipango ya shirika kwa mwaka 2016, wakati wa
maadhimisho ya Siku ya Posta barani Afrika. yanayoadhimishwa Januari 18
ya kila mwaka.
Kaimu
Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Fortunatus Kapinga,
akizungumza na waandishi wa habari, Makao Makuu ya shirika hilo, Dar es
Salaam leo, kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu utendaji wa shirika
kwa mwaka uliopita na mipango ya shirika kwa mwaka 2016, wakati wa
maadhimisho ya Siku ya Posta barani Afrika. yanayoadhimishwa Januari 18
ya kila mwaka.
Waandishi wa habari, wakimsiliza na kuandika habari zilizokuwa zikitolewa na Kaimu Postamasta Mkuu wa shirika hilo, Fortunatus
Kapinga, wakati akizungumza nao, Makao Makuu ya shirika hilo, Dar es
Salaam leo, kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu utendaji wa shirika kwa
mwaka uliopita na mipango ya shirika kwa mwaka 2016, wakati wa
maadhimisho ya Siku ya Posta barani Afrika. yanayoadhimishwa Januari 18
ya kila mwaka.
Baadhi ya Maofisa wa Shirika la Posta Tanzania (TPC),wakimsikiliza Kaimu
Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Fortunatus Kapinga,
akizungumza na waandishi wa habari, Makao Makuu ya shirika hilo, Dar es
Salaam leo,

Salaam leo.

Meneja Mkuu Uendeshaji Biashara za Shirika, Janeth Msofe, akizungumza
katika mkutano wa maadhimisho hayo leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Fortunatus Kapinga.
Kaimu
Meneja Mkuu Uendeshaji Biashara za Shirika, Janeth Msofe, akifafanua
jambo kwa waandishi wa azungumza katika mkutano huo wa maadhimisho
uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Meneja Masoko, David George, akifafanua jambo wakati akijibu maswali ya waandishi wa habari katika maadhimisho hayo leo jijini.
Post a Comment