Mkurugenzi
wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji wa Serikali Dk. Hassan Abbas
(kulia), akihutubia wakati wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa
Tanzania Bloggers Network (TBN), Dar es Salaam leo asubuhi. Kushoto ni
Mwenyekiti wa muda wa TBN, Joachim Mushi.

Mmoja kati ya wamiliki wa mtandao wa Jamii Forums, Maxence Melo, akitoa moja ya somo katika mafunzo hayo.
Baadhi ya washiriki wakiwa katika mkutano,mafunzo hayo.
Baadhi ya washiriki wakiwa katika mkutano,mafunzo hayo.
Picha ya pamoja. Picha zote na Mafoto Blog
Sufianimafoto akifuatilia kilichokuwa kikiendelea ukumbini hapo.
Blogger Kitime akichangia mada
Baadhi ya washiriki wakiwa katika mkutano,mafunzo hayo.
Baadhi ya washiriki wakiwa katika mkutano,mafunzo hayo.
Baadhi ya washiriki wakiwa katika mkutano,mafunzo hayo.
Baadhi ya washiriki wakiwa katika mkutano,mafunzo hayo.
Baadhi ya washiriki wakiwa katika mkutano,mafunzo hayo.
Baadhi ya washiriki wakiwa katika mkutano,mafunzo hayo.
Baadhi ya washiriki wakiwa katika mkutano,mafunzo hayo.
Baadhi ya washiriki wakiwa katika mkutano,mafunzo hayo.
Mmiliki wa mtandao wa Blog za miko, Fredy Njeje, akiwa bize kuposti matukio
Baadhi ya washiriki wakiwa katika mkutano,mafunzo hayo.
Meneja Mwandamizi wa Amana Huduma za Bima na Ziada wa Benki ya
NMB, Stephen Adili (kulia), akizungumza katika mkutano huo kuhusu
masuala mbalimbali ya benki hiyo ambayo ni moja ya mdhamini wa mkutano
huo.
Mwanahabari na Blogger Frederick Katulanda (kulia), akiuliza swali.
Mwenyekiti wa muda wa TBN, Joachim Mushi (kushoto), akiwaelekeza jambo mablogger.
Mablogger wakiwa kwenye mkutano huo.
Mkutano ukiendelea.
Mablogger kazini
Blogger Baraka kutoka Bukoba akiuliza swali.
Mwezeshaji wa mkutano huo Maxsence Mello akitoa mada.
Meza kuu. Kutoka kulia ni mjumbe wa kamati ya maandalizi ya
mkutano huo, Kranty Mwantepele.Meneja Mwandamizi wa Amana Huduma za Bima
na Ziada wa Benki ya NMB, Stephen Adili,Mkurugenzi wa Idara ya Habari
Maelezo na Msemaji wa Serikali Dk. Hassan Abbas, Mwenyekiti wa muda wa
TBN, Joachim Mushi pamoja na Katibu wa muda wa TNB, Khadija Kalili.
Mwenyekiti wa muda wa TBN, Joachim Mushi (katikati), akizungumza kwenye mkutano huo.
Bloggers wakifuatilia mada.
Blogger Mroki Mroki akiwa kazini wakati wa mkutano huo.
Mgeni rasmi akihutubia.
Mwendeshaji wa mtandao wa FullShangwe, John Bukuku akichangia jambo kwenye mkutano huo.
Blogger kutoka mkoani Arusha, Tumaniel Seria (kulia), akiuliza
swali. Kusho ni William Malecela mmiliki wa mtandao wa Mwananchi na
katikati ni mmiliki wa Blog ya Michuzi Issa Michuzi.
Mmiliki wa mtandao wa Kamanda wa Matukio, Richard Mwaikenda akichangia jambo.
Picha ya pamoja na mgeni rasmi.
*************************************************
Na Ripota wa Mafoto Blog, Dar
SERIKALI imetangaza rasmi kuitambua mitandao ya Kijamii (Bloggers) kuwa chombo cha habari nchini.
Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na
Msemaji wa Serikali Dk.Hassan Abbas, wakati akifungua Mkutano Mkuu wa
Mwaka na Mafunzo ya Tanzania Bloggers Network (TBN), uliofanyika jijini
Dar es Salaam, leo.
"Serikali sasa inaitambua rasmi mitandao ya kijamii kuwa ni chombo
cha habari kama ilivyo vyombo vingine nchini hivyo nawaomba wakuu wa
vitengo vya habari serikalini kushirikiana na wanamitandao hiyo katika
kutoa taarifa mbalimbali" alisema Abbas.
Abbas alivitaka vyombo vya habari hasa magazeti pale wanapotumia
picha kutoka mitandao ya kijamii kueleza chanzo cha picha hiyo tofauti
na ilivyo hivi sasa ambapo picha zao zinatumika bila ya kutaja chanzo.
Katika hatua nyingine Abbas alisema Bloggers haina tofauti na vyombo
vingine hivyo ni vema wanapotoa habari zao kuzingatia sheria na weredi
wa kazi vinginevyo sheria itawakumba kama ilivyo kwa magazeti na vyombo
vingine.
Abass aliwataka wanamitandao hao kujiunga na TBN ili iwe rahisi kutatuliwa changamoto walizonazo kuliko kila mmoja kuwa kivyake.
Wanamitandao hao wakizungumzia changamoto waliyonayo walimwambia
mkurugenzi huyo kuwa wamekuwa wakibaguliwa na maofisa habari wa
serikalini ikiwa pamoja na kunyimwa 'Press Card' jambo linalokwamisha
utendaji wao wa kazi.
Post a Comment