PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: WAZIRI MKUU KASSIMU MAJALIWA ATOA PIKIPIKI 200 KWA WANABODABODA MKOANI ARUSHA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wa Arusha wakati alipowasili kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid kuhu...


 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wa Arusha wakati alipowasili kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid kuhutubia mkutano wa hadhara Desemba 3, 2016. Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyesha mkuki na ngao alivyopewa na wazee wa kimasai wa Arusha kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha Desemba 3, 2016. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha Desemba 3, 2016.

Waendesha bodaboda wa Arusha wakiingia kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kwa maandamano kumsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja huo, Desemba 3, 2016.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top