Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha mjini wakiwa katika kikao cha Baraza la madiwani kilichojadili bajeti ya Halmashauri ya Wilaya ya Arusha mjini kwa mwaka 2015/2016 ambapo kiasi cha shiling…
PROFESA LIPUMBA AFIKISHWA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU LEO KUJIBU TUHUMA ZA KUANDAMANA BILA KIBALI
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mwenyekiti wa Chama cha Wanachi CUF, Prof Ibrahim haruna Lipumba akiwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo alipofikishwa kusjibu shitaka la kuhamasisha wanacham awa chama chake ku…
RAIS KIKWETE AHANI MSIBA WA MFALME WA SAUDI ARABIA, AWASILI BERLIN, UJERUMANI, KWA ZIARA YA KIKAZI
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa mkono wa pole kwa watawala na familia mjini Riyadh, Saudi Arabia Jumapili, Januari 25, 2015, alipofika kuhani kuhani kifo cha Mfalme Abdullah bin Abdul Aziz al Sa…
SERIKALI YA RAISI KIKWETE YAONGOZA KWA KUBADILISHA MAWAZIRI PITIA HAPA UWAJUE MAWAZIRI 60 WALIOACHWA NA JK
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Panga pangua ya saba ya Baraza la Mawaziri iliyofanyika juzi imefikisha mawaziri 61 waliotemwa, kujiuzulu au kufariki dunia tangu Rais Jakaya Kikwete aingie madarakani mwaka 2005, huku mawaziri …
hii kali???FFU WAMWOKOA MWENYEKITI MIKONONI MWA WANANCHI WENYE HASIRA KALI IMEDAIWA KUWA ALITAKA KUAPISHWA KINYEMELA..Cheki hapa
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), akijaribu kumwokoa mtu aliyejulikana kwa jina la Mariano Haruna baada ya kupewa msukosuko na wananchi wenye hasira, ambaye alidaiwa kuletwa kuapishwa …
MAKALA YA UCHUMI TUMIA ULICHONACHO KUPATA UNACHOKITAKA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Na Ferdinand Shayo,Arusha. Njia mojawapo ya kupata unachokitaka ni kutambua thamani ya kitu ulichonacho hata kama ni kidogo na jinsi ambavyo kinaweza kukusaidia kupata kile unachokitaka. Watu wengi …
MAKALA YA UCHUMI JE KWELI PESA NI KILA KITU?
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Na Ferdinand Shayo,Arusha. Watu wengi sana wanakuhimiza utafute pesa lakini wachache wanakuhimiza utafute kusudi la maisha yako na kulitimiza. Watu wengi wamehimizwa kutafuta pesa na kuaminishwa kuw…
DUUU!!! inasikitisha sana ASKARI WAWILI WAUAWA KIKATILI NA MAJAMBAZI NA KUPORA SILAHA SABA MKOANI PWANI..Cheki hii hapa Tunaomba radhi kwa picha hizi
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mwili wa askari polisi mwenye Namba E.8732 koplo Edga milinga ukiwa umecharangwa na mapanga na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi mara baada ya kuvamia kituo cha polisi Ikwiriri usiku wa kuamkia…
MAKALA YA UCHUMI KATAA KUWA MTUMWA WA FEDHA TUMIKIA NDOTO ZAKO
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Na Ferdinand Shayo,Arusha. “Ukiambiwa umebakiza masaa machache ,siku chache za kuishi ukaulizwa uhaitaji nini? hutakumbuka kuwa unahitaji fedha kuna jambo utakua unahitaji ulikamilishe kabla hujaond…
MAKALA YA UCHUMI TAMBUA KUSUDI LA MAISHA YAKO UFANIKIWE
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Na Ferdinand Shayo,Arusha. Upo duniani unaishi kwasababu ,tafuta hiyo sababu .Iyo sababu ndo kusudi la maisha,kwenye kusudi la maisha ndipo kilipo kiini cha maisha yako. Unapoacha kutimiza kusudi la …
WALEMAVU WALIA NA MIUNDOMBINU ISIYO RAFIKI
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Na Ferdinand Shayo,Arusha. Watu wenye ulemavu nchini wameiomba serikali na taasisi binafsi zinazotoa huduma za kijamii ikiwemo hospitali,benki na shule kuhakikisha kuwa wanaweka miundombinu rafiki it…