Kwa taarifa ya kusikitisha tuliyo ipata muda huu ambayo bado haijathibitishwa inadai kwamba kuna ajali mbaya imetokea katika eneo la Mbele ya Tengeru jirani na Daraja walipo kata migomba ambapo i…
DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA TANO LA KIMATAIFA KUJADILI MATUMIZI YA NISHATI ITOKANAYO NA JOTO ARDHI KATIKA NCHI ZA AFRIKA ZINAZOPITIWA NA BONDE LA UFA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la Tano la Kimataifa la kujadili matumizi ya Nishati itokanayo na joto ar…
RAIS KIKWETE AREJEA NCHINI BAADA YA ZIARA NCHINI CHINA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili nchini leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius K. Nyerere ulioko jijini Dar es Salaam mara b…
WAGONJWA WA KISUKARI KUPATWA UPOFU WA MACHO
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Wagonjwa wa kisukari mkoani Kilimanjaro wameshauriwa kwenda kumwona mtaalamu wa magonjwa ya macho mapema kutokana na kile kilichoelezwa wapo hatarini kupatwa na matatizo ya macho. Daktari wa macho …
WAKULIMA WA KONDOA NA MBARALI MKOANI MBEYA WANUFAIKA NA MATREKTA YA KULIMIA MASHAMBA YAO..Bofya hapa
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Kariati Matrekta, Alhaji Omari Kariati akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), wakati wa hafla ya kukabidhi matrekta hayo jijini Dar es Salaam leo. …
MFANYA BIASHARA MAARUFU JIJINI ARUSHA AJILIPUA KWA RISASI KIFUANI NA KUFARIKI PAPO HAPO...Tazama hapa
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
MFANYABIASHARA wa Arusha anayemiliki kampuni ya Tanzania Bush Camp yenye kambi za watalii katika hifadhi za Serengeti mkoani Mara na Manyara iliyopo katika mikoa ya Arusha na Manyara, Timoth Mroki (3…
HABARI ZA HIVI PUNDE: CHIDI BENZ AKAMATWA NA DAWA ZA KULEVYA UWANJA WA NDEGE WA DARESALAAM
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Chidi Benz amekamatwa na dawa za kulevya katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam akiwa anaelekea jijini Mbeya kwenye show ya Instagram Party inayotarajiwa kufan…
WANAFUNZI WA SHERIA KUPATIWA MIKOPO- Dkt. Migiro
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha-Rose Migiro akikagua Jengo la Mahakama ya Mafunzo katika Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo Tanzania leo (Ijumaa, oktoba 24, 2014) jijini Dar es Sala…
NEC WAJIPANGA KATIKA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC), pia na Jaji Mkuu Mstaafu wa Zanzibar Mhe. Hamid Mahamoud Hamid(kushoto) akisoma taarifa kuhusu kuanza…
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI NDANI YA MTIHANI MGUMU JUU YA KUPIGA KURA YA KATIBA ILIYOPENEDEKEZWA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Wakati Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) ikitarajiwa kuzungumza na vyombo vya habari jijini Dar es Salaam leo, inakabiliwa na mtihani mgumu juu ya muda wa kufanyika kwa kura ya maoni ya kupitis…
PINDA AWAPA JOTO WENYE NIA YA KUGOMBEA URAISI 2015 CCM
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
9:38 AM Siyo tetesi tena. Sasa ni rasmi kwamba Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ambaye amekuwa akitajwa kuwania urais amethibitisha wazi kuwa atagombea kiti hicho katika uchaguzi mkuu mwakani. Alit…
ISSUE YA MISS TANZANIA 2014 KUUNDIWA TUME
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mshindi wa taji la Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Mtemvu huenda akavuliwa taji hilo kama serikali kupitia Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo na Baraza lake la Sanaa la Taifa ambalo nd…
HABARI ZA HIVI PUNDE: LORI LA MAFUTA LAPINDUKA NA KUWAKA MOTO IRINGA, MMOJA AFA NA MWINGINE AJERUHIWA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mtu mmoja amefariki Mkoani Iringa baada ya lori lililobeba mafuta kupinduka na kuteketea kwa moto kisha kusababisha majeruhi kwa mmoja Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Kamanda wa polisi m…
FIRST AFRICAN MOUNTAINS REGIONAL FORUM CALLS FOR MAINSTREAMING OF MOUNTAINS IN THE DEVELOPMENT AGENDA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
The first African Mountains Regional Forum has started at Ngurdoto Mountain Lodge in Arusha, Tanzania. The three-day forum to take place from October 22-24 is to provide an opportunity for differen…
KAMISHNA WA MAGEREZA AKABIDHI ZAWADI YA BASI DOGO BWAWANI SEKONDARI KATIKA MAHAFALI YA 11 YA KIDATO CHA NNE
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja(kulia) akikabidhi funguo za Basi dogo kwa Kaimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Bwawani, Mrakibu Mwandamizi wa Magereza, Emmanuel Lwinga(kusho…
HABARI PICHA: Ziara ya Rais Kikwete na mama salma kikwete nchini China
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea ua kutoka kwa mfanyakazi wa Hoteli ya Diaoyutai iliyoko Beijing mara baada ya kuwasili hotelini hapo. Mama Salma ameambatana na mumewe Rais Dkt. Jakaya Kik…