PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: RAIS KIKWETE AREJEA NCHINI BAADA YA ZIARA NCHINI CHINA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili nchini leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa ...


 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili nchini leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius K. Nyerere ulioko jijini Dar es Salaam mara baada ya kumaliza ziara yake ya kikazi nchini China na Vietnam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange (kushoto) leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius K. Nyerere pamoja na baadhi ya viongozi wengine mara baada ya kumaliza ziara yake ya kikazi nchini China na Vietnam. PICHA NA BENEDICT LIWENGA, MAELEZO-DSM

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top