SHIRIKA la Ugavi wa Umeme Nchini, Tanzania Electric Supply Company Limited (TANESCO), limeionjesha joto ya jiwe Kampuni ya SYBA Electrical Contractor kwa kuisimamisha kutoendelea na zoezi la kuku…
- Matukio
- KITAIFA
- HABARI ZA BIASHARA
- yanayojiri ARUSHA
- Siasa
- BURUDANI
- MAGAZETI YA LEO
- UCHAGUZI MKUU 2015
- michezo
- HABARI ZA BUNGE
- HABARI ZA AFYA
- KIMATAIFA
- politics
- kijamii
- INJILIi
- habari za utalii
- Habari za Jamii
- MAKALA
- national news
- habari za michezo
- habari zautalii
- utalii
- habari za iringa
- Kilimo
- MADINI
- habari za polisi
- Harusi
SHULE YATEKETEA KWA MOTO JIJINI ARUSHA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Moja ya jengo la Shule ya Sekondari Erikisongo iliyopo Wilayani Monduli mkoani Arushaa likiwa linawaka moto ZAIDI ya wanafunzi 100 wa Shule ya Sekondari Erikisongo iliyopo Wilayani Monduli mkoani…
MARIDHIANO JUU YA BUNGE LA KATIBA KUSAKWA LEO
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Wajumbe wote wa Bunge Maalumu la Katiba, wanakutanishwa leo katika kikao kilichoitishwa na Mwenyekiti, Samuel Sitta. Kikao hicho kimelenga kutafuta suluhu ya mvutano,uliosababisha baadhi ya wabunge…
TIBA NA KINGA YA UKIMWI YAGUNDULIWA HUKO MAREKANI
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Watafiti wakitoa sampuli za damu kutoka kwa sokwe mtu katika utafiti wa Ukimwi huko Gabon. Dar es Salaam. Watafiti katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Tiba cha Temple, Marekani wamegund…
MAKUNGA AWATAKA WANANCHI KUWACHARUKIA WACHAKACHUAJI WA MIRADI YA MAENDELEO
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mkuu wa wilaya ya Hai,Novatus Makunga akizungumza katika mkutano wa kijiji cha Mbatakero Diwani wa kata ya Machame kusini,Nasibu Mndeme akizungumza katika mkutano wa kijiji cha Mbatakero Wananchi…
Genge la ulipuaji mabomu na umwagiaji watu tindikali lanaswa Arusha
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai(DCI)Isaya Mngulu akishauriana na maafisa wake leo Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai(DCI)Isaya Mngulu JESHI la Polisi jijini Arusha limewakamata w…
POLISI INAWASHIKILIA WATU NANE KWA TUKIO LA VIUNGO VYA BINADAMU JIJINI DAR.
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar Es Salaam,Suleiman Kova akizungumza na Vyombo vya habari mbalimbali mapema leo makao makuu ya jeshi la polisi jijini Dar kuhusiana na sakata la viungo vy…
HABARI PICHA ZA KAMATI KUU YA CHADEMA ILIYOKETI SIKU MBILI JIJINI DARESALAAM
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mwenyekiti wa chadema Taifa Freeman Mbowe akizungumza na wajumbe wa kamati kuu ya chama Mchungaji MSIGWA mwenye kipaza sauti akifungua kwa sala kikao hicho Katibu mkuuwa chadema Dk. WILBROAD SILAA…
UTALII WA NDANI KWA KUTUMIA NGAMIA WAZINDULIWA MUGUMU-SERENGETI
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
NGAMIA AKIANDALIWA KWA AJILI YA KUBEBA MTU, MTOTO AKIFANYA UTALII KWA KUTUMIA NGAMIA ,UTALII UNAOENDESHWA NA SERENGETI CULTURAL CENTRE NGAMIA HAO NI SERENGETI NA KILIMANJARO AMBAO WANATUMIKA KWA AJ…
RAIS KIKWETE AFUNGUA DARAJA LA RUHEKEI LINALOUNGANISHA WILAYA YA MBINGA NA WILAYA YA NYASA MKOANI RUVUMA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katikati akiwa pamoja na Waziri wa Ujenzi Dkt.John Magufuli wa kwanza kulia wakifanya ishara ya kuweka jiwe la msingi na kufungua Daraja la Ruhekei linalounganisha kati …
MAAJABU YA DUNIA KIJANA AMUUA MWANAFUNZI WA DARASA LA 3 KWA PANGA KISHA KUPASUA KICHWA NA KUTAFUNA UBONGO WAKE.
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Askari kanzu wa kituo cha Polisi Himo wakiwa wamemkamata Lawrence Mramba anayetuhumiwa kumuua mtoto wa miaka 9 na kula ubongo wake. Mkazi mmoja wa Moshi amemuua mwanafunzi wa darasa la 3 ku…
LOWASA AKUTANA NA BALOZI WA UBELGIJI NCHINI NA KUZUNGUMZIA KATIBA MPYA!!!!!!!
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya kudumu ya mambo ya nje Mh Edward Lowassa akizungumza na balozi wa Ubelgiji Hapa nchini Koen Adam aliyekwenda kumtembelea ofisini kwake jijini Dar es Saalam. Walij…
Mkenya anayehusishwa na ugaidi kwao na wenzake 16 kizimbani Dar
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
JESHI la Polisi nchini limemkamata na kumfikisha Mahakamani mmoja wa watuhumiwa wa matukio ya ugaidi nchini Kenya, Jihad Gaibon Swaleh, raia wa Kenya na kusomewa mashtaka ya kuhusika na vitendo vy…
MAKUBWA YADAIWA POMBE YATIBUA FUTARI KWA DIAMOND
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
NI kama jina la wimbo wake mpya wa Mdogo Mdogo ambao ndani yake kuna kikorombwezo ‘mwendawazimu kaingiaje’, ndiyo hali iliyotokea kwenye futari ya …
MAITI YA KICHANGA CHAOKOTWA KIJENGE JUU KATA YA KIMANDOLU JIJINI ARUSHA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
ukatili wa wanawake mpaka lini????????? mwili wa mtoto mchanga mwenye jinsia ya kike waokotwa kwenye makaburi ya kanisa eneo la kijenge juu kata ya kimandolu iliyoko jijini Arusha. …
MAAJABU YA KOMBE LA DUNIA LEO TUTASHUHUDIA TENA KIMBUNGA CHA MAGOLI????????
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Kiungo mshambuliaji wa timu ya Taifa Uholanzi, Arjen Robben. Sao Paulo, Brazil WAKATI wikiendi ijayo itakuwa siku ya mwisho kwa fainali za Kombe la Dunia, kuna mambo kadhaa yametokea kwenye faina…