PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: KUNYWA NA KUUZA POMBE SAA ZA KAZI MARUFUKU SIHA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
  Na Rehema Mmbando ,Kilimanjaro Serikali wilayani siha mkoani Kilimanjaro imepiga marufuku unywaji na uuzaji wa pombe saa za kazi b...
KUNYWA NA KUUZA POMBE SAA ZA KAZI MARUFUKU SIHA
KUNYWA NA KUUZA POMBE SAA ZA KAZI MARUFUKU SIHA

  Na Rehema Mmbando ,Kilimanjaro Serikali wilayani siha mkoani Kilimanjaro imepiga marufuku unywaji na uuzaji wa pombe saa za kazi baada ya kubaini nguvu kazi ya taifa inapungua hasa kwa vijana. Mkuu…

Read more »
31 Dec 2014

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: WAZEE WAKABILIWA NA UMASIKINI,WAPEWA MSAADA WENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 10
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Na Ferdinand Shayo, Arusha Serikali na wahisani wametakiwa kuweka ...
WAZEE WAKABILIWA NA UMASIKINI,WAPEWA MSAADA WENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 10
WAZEE WAKABILIWA NA UMASIKINI,WAPEWA MSAADA WENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 10

Na Ferdinand Shayo, Arusha Serikali na wahisani wametakiwa kuweka mipango endelevu ya kuwahudumia wazee katika jamii  katika kupata hudum…

Read more »
31 Dec 2014

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: HABARI PICHA-WAFANYABIASHARA SOKO LA VINYAGO MASAI MARKET LILILOTEKETEA KWA MOTO HIVI KARIBUNI WAKIPEWA KIFUTA MACHOZI NA BENKI YA FINCA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Wafanyabiashara wa soko la vinyago  la Mount Mure Curio Craft maarufu kama Masai Market wakishangilia baada ya kupatiwa kifuta machozi ...
HABARI PICHA-WAFANYABIASHARA SOKO LA VINYAGO MASAI MARKET LILILOTEKETEA KWA MOTO HIVI KARIBUNI WAKIPEWA KIFUTA MACHOZI NA BENKI YA FINCA

Wafanyabiashara wa soko la vinyago  la Mount Mure Curio Craft maarufu kama Masai Market wakishangilia baada ya kupatiwa kifuta machozi cha shilingi milioni 17 na benki ya Finca ambayo pia iliwafutia …

Read more »
31 Dec 2014

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: MAKALA YA UCHUMI: MAISHA NI USHINDANI UMEJIANDAA KUSHINDA AU KUSHINDWA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Na Ferdinand Shayo,Arusha. N i  Ukweli usiopingika kuwa maisha  tuliyonayo yamejaa ushindani,hivyo ushindani hauepukiki tunakutana ...
MAKALA YA UCHUMI: MAISHA NI USHINDANI UMEJIANDAA KUSHINDA AU KUSHINDWA
MAKALA YA UCHUMI: MAISHA NI USHINDANI UMEJIANDAA KUSHINDA AU KUSHINDWA

Na Ferdinand Shayo,Arusha. Ni  Ukweli usiopingika kuwa maisha  tuliyonayo yamejaa ushindani,hivyo ushindani hauepukiki tunakutana nao kwenye kila kona ya maisha iwe ni uchumi,kazi,siasa,mahusiano. Ka…

Read more »
31 Dec 2014

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: NASSARI AWATAKA WENYEVITI WA MITAA WALIOCHAGULIWA KUTOJIHUSISHA NA RUSHWA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari akizungumza na wenyeviti wapya wa mtaa pamoja na wajumbe waliochaguliwa kwa tiketi ya CHADEMA...
NASSARI AWATAKA WENYEVITI WA MITAA WALIOCHAGULIWA KUTOJIHUSISHA NA RUSHWA

Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari akizungumza na wenyeviti wapya wa mtaa pamoja na wajumbe waliochaguliwa kwa tiketi ya CHADEMA katika Wilaya ya Arumeru Mashariki katika semina iliyoandal…

Read more »
29 Dec 2014

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: MAKALA YA UCHUMI: NGUVU YA MAAMUZI YAKO KATIKA KUBADILISHA MAISHA YAKO
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Na Ferdinand Shayo,Arusha. M aisha ya mtu ni matunda ya mtiririko wa maamuzi ya mtu binafsi yakiwa yamechanganyika na maamuzi y...
MAKALA YA UCHUMI: NGUVU YA MAAMUZI  YAKO KATIKA KUBADILISHA MAISHA YAKO
MAKALA YA UCHUMI: NGUVU YA MAAMUZI YAKO KATIKA KUBADILISHA MAISHA YAKO

Na Ferdinand Shayo,Arusha. Maisha ya mtu ni matunda ya mtiririko wa maamuzi ya mtu binafsi yakiwa yamechanganyika na maamuzi ya watu wengine yanayogusa maisha yake. Maisha uliyonayo ni matokeo ya maa…

Read more »
24 Dec 2014

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: KATIBU MKUU OMBENI SEFUE AMPIGA CHINI MASWI
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS ...
KATIBU MKUU OMBENI SEFUE AMPIGA CHINI MASWI
KATIBU MKUU OMBENI SEFUE AMPIGA CHINI MASWI

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS Telegrams : "CABINET" …

Read more »
23 Dec 2014

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: BAADA YA KUPIGWA CHINI UWAZIRI: TIBAIJUKA AJIKITA KUTATUA KERO ZA WANANCHI WAKE
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Wananchi mkoani kagera wamepinga uamuzi wa Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho Kikwete kwa kumuondoa madarakani wa...
BAADA YA KUPIGWA CHINI UWAZIRI: TIBAIJUKA AJIKITA KUTATUA KERO ZA WANANCHI WAKE
BAADA YA KUPIGWA CHINI UWAZIRI: TIBAIJUKA AJIKITA KUTATUA KERO ZA WANANCHI WAKE

Wananchi mkoani kagera wamepinga uamuzi wa Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho Kikwete kwa kumuondoa madarakani waziri wa ardhi nyumba na makazi na kuwaweka kiporo viongozi w…

Read more »
23 Dec 2014

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: PICHA: KIBAKA ANUSURIKA KUUAWA KWA KUCHOMWA MOTO NA WANANCHI.....
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mtuhumiwa wa wizi akiwa amechakazwa kwa kipigo. Moja ya matofali yaliyotumika kumshambulia mtuhumiwa. Wananchi wakiwa katika jaribi...
PICHA: KIBAKA ANUSURIKA KUUAWA KWA KUCHOMWA MOTO NA WANANCHI.....

Mtuhumiwa wa wizi akiwa amechakazwa kwa kipigo. Moja ya matofali yaliyotumika kumshambulia mtuhumiwa. Wananchi wakiwa katika jaribio la kumvisha tairi na kumchoma moto. Mtuhumiwa akibebwa na…

Read more »
23 Dec 2014

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: DIAMOND AKANA KUIWA NA BIFU NA DAVIDO!!!!!!
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Kwa mara ya kwanza Diamond Platnumz amezungumzia kile kinachoaminika kuwa ni beef kati yake na msanii wa Nigeria, Davido iliyotokana na ushi...
DIAMOND AKANA KUIWA NA BIFU NA DAVIDO!!!!!!
DIAMOND AKANA KUIWA NA BIFU NA DAVIDO!!!!!!

Kwa mara ya kwanza Diamond Platnumz amezungumzia kile kinachoaminika kuwa ni beef kati yake na msanii wa Nigeria, Davido iliyotokana na ushindi wa Idris kwenye Big Brother Africa. Akiongea na waandish…

Read more »
23 Dec 2014

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: HAINA SIRI TENA: DIAMOND NA ZARI WAONYESHANA MAHABA MCHANA KWEUPE!!
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
STAA anayetamba na ngoma mpya ya Nitampata Wapi, Nasibu Abdul ‘Diamond’ na mtoto mzuri kutoka Uganda, Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’ w...
HAINA SIRI TENA: DIAMOND NA ZARI WAONYESHANA MAHABA MCHANA KWEUPE!!

STAA anayetamba na ngoma mpya ya Nitampata Wapi, Nasibu Abdul ‘Diamond’ na mtoto mzuri kutoka Uganda, Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’ wameoneshana malovee hadharani na kuwaacha watu midomo wazi. …

Read more »
23 Dec 2014

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: OVER 60 JOURNALIST KILLED IN 2014,SYRIA DEADLIEST
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Although 2014's overall toll is lower than the 70 journalists killed last year, an unusually high percentage of c...
OVER 60 JOURNALIST KILLED IN 2014,SYRIA DEADLIEST
OVER 60 JOURNALIST KILLED IN 2014,SYRIA DEADLIEST

Although 2014's overall toll is lower than the 70 journalists killed last year, an unusually high percentage of casualties were international journalists   By Mustafa Cagla…

Read more »
23 Dec 2014

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: POLISI NA WAMACHINGA WASHINDANA NGUVU KARIAKOO JIJINI DARESALAAM
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
  Moto ukiwaka katika barabara ya Nyerere jijini Dar es Salaam jirani na mataa ya Kamata kufuatia vurugu zilizotokana na Machinga ...
POLISI NA WAMACHINGA WASHINDANA NGUVU KARIAKOO JIJINI DARESALAAM

  Moto ukiwaka katika barabara ya Nyerere jijini Dar es Salaam jirani na mataa ya Kamata kufuatia vurugu zilizotokana na Machinga wa Kariakoo kuzua tafrani baada ya mgambo wa jiji kukamata mali za…

Read more »
23 Dec 2014

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: HABARI PICHA-WATOTO KUTOKA KATA YA BANGATA WAKITOPKA KUTAFUTA KUNI KUTOKANA NA TATIZO LA UKOSEFU WA NISHATI MBADALA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
  Watoto kutoka kata ya Bangata wilaya ya Arumeru wakitoka kutafuta kuni ,tatizo la ukosefu wa nishati mbadala limekua likiathiri...
HABARI PICHA-WATOTO KUTOKA KATA YA BANGATA WAKITOPKA KUTAFUTA KUNI KUTOKANA NA TATIZO LA UKOSEFU WA NISHATI MBADALA

 Watoto kutoka kata ya Bangata wilaya ya Arumeru wakitoka kutafuta kuni ,tatizo la ukosefu wa nishati mbadala limekua likiathiri hata watoto ambao hutembea muda mrefu kutafuta nishati hiyo.Picha na…

Read more »
23 Dec 2014

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: WAFUGAJI WAATHIRIWA NA MABADILIKO YA TABIA YA NCHI
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Na Ferdinand Shayo,Arusha. WAFUGAJI kutoka  Wilaya za Ngorongoro ,Longido na Monduli wameeleza kuanza kukumbwa na athari za m...
WAFUGAJI WAATHIRIWA NA MABADILIKO YA TABIA YA NCHI

Na Ferdinand Shayo,Arusha. WAFUGAJI kutoka  Wilaya za Ngorongoro ,Longido na Monduli wameeleza kuanza kukumbwa na athari za matokeo ya mabadiliko ya hali ya hewa na tabia nchi. Wakizungumza katika  k…

Read more »
23 Dec 2014

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: MAKALA YA UCHUMI-JIFUNZE KUONA FURSA AMBAZO WENGINE HAWAZIONI
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Na Ferdinand Shayo,Shayo. Fursa ni nafasi ambazo zinaweza kumwingizia kipato mtu na kama zitatumika vizuri ...
MAKALA YA UCHUMI-JIFUNZE KUONA FURSA AMBAZO WENGINE HAWAZIONI
MAKALA YA UCHUMI-JIFUNZE KUONA FURSA AMBAZO WENGINE HAWAZIONI

Na Ferdinand Shayo,Shayo. Fursa ni nafasi ambazo zinaweza kumwingizia kipato mtu na kama zitatumika vizuri na kwa wakati unaofaa zinaweza kubadilisha  kabisa maisha yako. Ili kuona fursa hauhitaji ku…

Read more »
23 Dec 2014

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: MICHEZO YA WABUNGE KATIKA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI YAFANA JIJINI ARUSHA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
   Wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki(Eala) Timu ya wabunge kutoka Jamhuri ya Kenya. Timu ya wabunge kutoka Ja...
MICHEZO YA WABUNGE KATIKA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI YAFANA JIJINI ARUSHA

   Wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki(Eala) Timu ya wabunge kutoka Jamhuri ya Kenya. Timu ya wabunge kutoka Jamhuri ya Uganda. Timu ya wabunge kutoka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Naib…

Read more »
13 Dec 2014

PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: NANI MTANI JEMBE SIMBA WAIBUKA KIDEDEA TENA!!! WAIBAMIZA YANGA 2-0
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
   Wachezaji wa timu ya Simba wakishangilia bao la pili lili...
NANI MTANI JEMBE SIMBA WAIBUKA KIDEDEA TENA!!! WAIBAMIZA YANGA 2-0

   Wachezaji wa timu ya Simba wakishangilia bao la pili lililofungwa na Elias Maguli katika dakika ya 40 ya kipindi cha kwanza. Mabao yote ya Simba yamefung…

Read more »
13 Dec 2014
 
Top