Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
amesimama wakati akipigiwa wimbo wa Taifa kabla ya kwenda
kukagua gwaride la heshima lililoandaliwa na vikosi mbalimbali vya
Majeshi ya Tanzania katika maadhimisho ya Sherehe za miaka 54
ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika
uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.
Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akielekea
kukagua gwaride la heshima lililoandaliwa na vikosi mbalimbali vya
Majeshi ya Tanzania katika maadhimisho ya Sherehe za miaka 54
ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika
uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.
Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua
gwaride la heshma katika maadhimisho ya Sherehe za miaka 54
ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika
uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.
Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana
na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein mara baada ya
kuwasili katika jukwa kuu kwa ajili ya maadhimisho ya Sherehe za
miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika
katika uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.
Vikosi mbalimbali vya Jeshi la Wananchi,
Magereza na Polisi vikipita kutoa heshma mbele ya Amiri Jeshi
Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli (haonekani pichani )katika ya
maadhimisho ya Sherehe za miaka 54 ya Muungano wa
Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Jamhuri
mkoani Dodoma.
Kikosi cha Makomando wa (JWTZ) kikipita na
kutoa heshma mbele ya Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
(haonekani pichani )katika ya maadhimisho ya Sherehe za miaka
54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika
uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.
Mmoja wa Makomando wa JWTZ akitoa Heshma
kwa kupiga Saluti wakati akipita mbele ya Amiri Jeshi Mkuu, Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli (haonekani pichani )katika ya maadhimisho ya
Sherehe za miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
zilizofanyika katika uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.
Mmoja wa Makomando wa JWTZ akiwasili ndani
ya uwanja wa jamhuri kwa kutumia kamba katika maadhimisho
hayo ya Miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Mmoja wa Makomando wa JWTZ akionesha
umahiri wake wa kuvuta gari kwa kutumia meno katika ya
maadhimisho ya Sherehe za miaka 54 ya Muungano wa
Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Jamhuri
mkoani Dodoma.
Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akipiga makofi na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein,
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Pili wa Rais
wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, Rais Mstaafu wa Awamu
ya Tatu Benjamin Mkapa Pamoja na Jaji Mkuu Profesa Ibrahim
Juma, wakati kikundi cha Halaiki kilipokuwa kikipita mbele kutoa
heshma katika ya maadhimisho ya Sherehe za miaka 54 ya
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika uwanja
wa Jamhuri mkoani Dodoma.
Askari wa Jeshi la Magereza wakionesha
umahiri wa kupambana na vikwazo mbalimbali katika ya
maadhimisho ya Sherehe za miaka 54 ya Muungano wa
Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Jamhuri
mkoani Dodoma.
Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa amesimama pamoja na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed
Shein, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Mke wa Rais Mama Janeth
Magufuli, Spika wa Bunge Job Ndugai wakati kikundi cha vijana
wa Halaiki walipokuwa wakipita mbele kutoa heshma.
Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia
katika maadhimisho ya Sherehe za miaka 54 ya Muungano wa
Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Jamhuri
mkoani Dodoma.
PICHA NA IKULU.
Post a Comment