Waziri
wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akiangalia Twiga katika
fukwe za ziwa Burigi ndani ya Pori la Akiba Burigi mkoani Kagera.
Baadhi ya Twiga wanaopatikana katika Pori la Akiba Burigi.
Waziri
wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akipata maelezo kutoka
kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Malmlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori
Tanzania, David Kanyata kuhusu mipango mbalimbali ya mamlaka hiyo
kuendeleza utalii katika Pori la Akiba Burigi alipotembelea pori hilo
jana mkoani Kagera.
Waziri
wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akiangalia mandhari
fukwe ya ziwa Burigi kwa kutumia darubuni alipotembelea Pori la Akiba
Burigi mkoani Kagera jana. Utalii wa fukwe ni moja ya kivutio muhimu cha
utalii katika pori hilo ambapo watalii hupata fursa ya kuona
wanyamapori mbalimbali wakiwemo viboko, simba, tembo, pundamilia na
ndege aina mbalimbali.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akishuka ngazi kwa ajili ya kukagua fukwe za ziwa Burigi.
Waziri
wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akishiriki kusukuma boti
iingie kwenye maji kwa ajili ya kunza ziara ya kukagua fukwe za ziwa
Burigi alipotembelea Pori la Akiba Burigi mkoani Kagera jana. Utalii wa
fukwe ni moja ya kivutio muhimu cha utalii katika pori hilo ambapo
watalii hupata fursa ya kuona wanyamapori mbalimbali wakiwemo viboko,
simba, tembo, pundamilia na ndege aina mbalimbali.
Waziri
wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akipiga kasia tayari
kwa kwa kuanza Safari ya boti kwa ajili ya kukagua fukwe ya ziwa Burigi
alipotembelea Pori la Akiba Burigi mkoani Kagera jana.
Ndege aina mbalimbali pia ni kivutio katika pori hilo.
Viboko nao wanapatikana katika pori hilo ndani ya ziwa Burigi.
Waziri
wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akishuka kwenye boti
baada ya kukagua fukwe ya ziwa Burigi alipotembelea Pori la Akiba Burigi
mkoani Kagera jana kwa ajili ya kukagua shughuli za uhifadhi. Utalii wa
fukwe ni moja ya kivutio muhimu cha utalii katika pori hilo ambapo
watalii hupata fursa ya kuona wanyamapori mbalimbali wakiwemo viboko,
simba, tembo, pundamilia na ndege aina mbalimbali.
Waziri
wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akishuka kwenye boti
baada ya kukagua fukwe ya ziwa Burigi alipotembelea Pori la Akiba Burigi
mkoani Kagera jana kwa ajili ya kukagua shughuli za uhifadhi.
Picha ya pamoja kati ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla na watumishi wa Pori la Akiba Burigi.
Picha ya pamoja. (Imeandaliwa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Malisili na Utalii)
Post a Comment