PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: NAIBU WAZIRI (WATU WENYE ULEMAVU) MHE.DKT ABDALLAH POSSI ATEMBELEA SHULE ZA WATU WENYE ULEMAVA ARUSHA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Naibu Waziri (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi akizungumza na watoto wenye ulemavu wa ngozi ( albinism ) katika ziara yake sh...
Naibu Waziri (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi akizungumza na watoto wenye ulemavu wa ngozi (albinism) katika ziara yake shule ya Arusha ikiwa ni moja ya kituo alichotembelea mkoani Arusha Februari 29, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Naibu Waziri (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi akisalimiana na baadhi ya walimu wa shule ya msingi Arusha wakati wa ziara yake ya kuangalia hali ilivyo katika Vituo, Vyuo na shule zinazolea watoto wenye ulemavu Mkoani Arusha. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

7
Naibu Waziri (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi akisalimiana na mwanafunzi wa shule ya msingi Themi mwenye tatizo la uoni Bi. Lissa Lucas wakati wa ziara yake shuleni hapo Februari 29, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Naibu Waziri (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi akizungumza na wanafunzi wa shule ya sekondari ya Longido mkoani Arusha wakati wa ziara ya kutembelea watoto wenye ulemavu na mahitaji maalum mkoani hapo Februari 29, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top