Wakiendesha kampeni hiyo
kwenye mitandao ya kijamii kwa kutoa maoni kwenye picha yake, kumeibua
hisia kubwa baina ya jamii ya Wakenya na Watanzania, huku Watanzania
wakidai Wakenya wanawachokoza.
onesmo_killenga: Na hili
tutalifanya fundisho kwenu omba msamaha mapema @rosemaryodinga la sivyo
tutachukua hatua kama wananchi wa nchi yetu na hamta amini tutasusia
bidhaa zenu zilizopo nchini ili tuendelee kuheshimiana hubacaren:
Rosemaryodinga you still remain silent? ignoring this or what???
umewakosea watanzania wote na you should apologize publicly or you will
just tarnish your image.
esteriche: Dd kasema oldvai
ipo kenya xa ona watanzania wanavyomfrahisha ...atafrahiii kwa kweli
hizo comments watanzania katika ubora wao na masters za kutetea vya kwao
yani hapa nacheka na comment tu.
call_me_kimodo: Mama hivi
unajua wa tz wewe, haya matusi tutayoanza kukuporomoshea utaomba poa,
omba radhi mwenyewe mwizi wa rasilimali zetu.
Baada ya mkiki huo wa kwenye mitandao kutoka kwa watanzania, wakenya hawajakaa kimya na kuamua kujibu mapigo.
kimathijr: Mnajua nyie
wabongo huwa mnabonga sana.. hata kichwa zenu tunajua zimejaa maji.
sijapata ona majitu majina in the continent kama nyinyi mazee.... ur
such as disgrace to our east community. smh.
Baada ya malumbano hayo
Rosemary aliamua kujirudi na kuomba radhi., huku akisema hakuwa nania
mbaya kusema kuwa Olduvai Gorge ipo Kenya, kwani Afrika mashariki ni
moja.
Post a Comment