PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: LOWASSA AFUNIKA KATIKA KAMPENI ZA UCHAGUZI WA UBUNGE SINONI JIJINI ARUSHA LEO PITIA HAPA UJIONEE MWENYEWE
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mgombea umeya kwa tiketi ya CHADEMA jiji la ARUSHA Mheshimiwa Callist Lazaro ambaye ni diwani wa kata ya sokoni one alipokuwa akimnadi ,go...
Mgombea umeya kwa tiketi ya CHADEMA jiji la ARUSHA Mheshimiwa Callist Lazaro ambaye ni diwani wa kata ya sokoni one alipokuwa akimnadi ,gombea ubunge jimbo la Arusha mjini Bwana Godbless Lema katika viwanja vya shulke ya msingi sinoni jioni ya leo

mawaziri wakuu wastaafu mheshimiwa Edward Lowassa na Mheshimiwa Sumaye wakimsikiliza mgombea ubunge wa jimbo la Arusha mjini Godbless lema jioni hii katika viwanja vya shule mya msingi sinoni

Mheshimiwa Lema akihutubia wmaelfu ya wakazi wa jiji la Arusha walioitokeza kumsikiliza katika kampeni za ubunge wa jimbo la Arusha mjini ambapo uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika jumapili ya tarehe 13 Disemba

 Waziri mkuu mstaafu na aliyekuwa mgombea uraisi kwa tiketi ya chadema mheshimiwa Edward Lowassa akihutubia maelfu ya wakazi wa jiji la Arusha waliojitokeza kumsikiliza katika kampeni za ubunge wa Godbless lema wa chadema jioni hii katika viwanja vya shule ya msingi Sinoni alisema anaamini siku moja ataingia ikulu na kuwataka wakazi hao wasikate tamaa waendele kujitokeza katika kupga kura na kupigania maslahi yao kwa kumchagua lema aenelee kuwa mbunge wao

mheshimiwa lowassa akimuombea kura mheshimiwa Lema na kuwatambulisha mheshimiwa Callist Lazaro ambaye ni mgombea wa umeya jiji la Arusha na mgombea  unaibu meya  bi VIOLLA kwa tiketi ya chadema amabapo wameahidi kuleta maendeleo ya kasi katika jiji la Arusha. Habari picha na ANDREA NGOBOLE wa PMT

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top