PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: WAKILI MAARUFU AJITOKEZA KUCHUKUA FOMU ZA KUGOMBEA JIMBO LA ARUSHA MJINI KUPITIA CCM ILI KUMNG'OA GODBLESS LEMA WA CHADEMA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Katibu wa ccm wilaya ya Arusha mjini  Feruzi L. Bano kulia akimpa maelekezo mtia nia wa kugombea ubunge wa jimbo la Arusha mjini kwa tiket...
Katibu wa ccm wilaya ya Arusha mjini  Feruzi L. Bano kulia akimpa maelekezo mtia nia wa kugombea ubunge wa jimbo la Arusha mjini kwa tiketi ccm wakili Edmund Ngemela juu ya utaratibu wa kujaza fomu hizo na kuzirejesha ofisini hapo tarehe 20 july kisha zoezi la kuwanadi kwa wanachama lianze mapema iwezekanavyo

mttia nia ya  kugombea ubunge jimbo la Arusha mjini kwa tiketi ya ccm wakili EDMUND  R. NGEMELA akipokea fomu za kugombea ubunge toka kwa katibu wa ccm wilaya ya Arusha Bwana Feruzi L. Bano mapema juzi 


About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top