PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: UKAWA JIJINI ARUSHA YAPOKEWA KWA KISHINDO!!!!!
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema na Mbunge wa Kigoma Kusini David Kafulila wakihutubia wananchi wa wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro ...
Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema na Mbunge wa Kigoma Kusini David Kafulila wakihutubia wananchi wa wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro .Picha na Ferdinand Shayo
Mwanasheria wa CHADEMA na Mbunge wa Singida Mashariki akihutubia wananchi wa Arusha katika viwanja vya soko la Kilombero jijini Arusha juu ya masuala ya katiba na uchaguzi wa Octoba mwaka huu.Picha na Ferdinand Shayo

 Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema na Mbunge wa Kigoma Kusini wakiongoza wananchi kuelekea kwenye mkutano wa Hadhara ambapo wamehutubia maelfu ya wananchi waa Siha katika viwanja vya Soko la Lawate.Picha na Ferdinand Shayo

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top