Mkurugenzi
Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa,ajali na upasuaji wa Ubongo na
Mishipa ya Fahamu (MOI) Dokta Othman Kiloloma (kushoto) akizungumza na
wandishi wa Habari (pichani hawapo)
Mkurugenzi
Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa,ajali na upasuaji wa Ubongo na
Mishipa ya Fahamu (MOI) Dokta Othman Kiloloma (wapili) kushoto na
kuanzia kulia ni Mkuu wa Idara ya upasuaji wa ubongo, uti wa mgongo na
mishipa ya fahamu Dk.Hamisi Shabani anaye fatia ni Profesa Philip Steg
toka Chuo cha Weill Cornell Marekani na kushoto ni Menneja ea Taasisi ta
Moi Almas Jumaa.
Madaktari wakiwakatika Upasuaji na ikiongozwa Dk, Japhet Ngerageza.
Mashine
ya kisasa yenye thamani shilingi mil. 700 iliyotolewa msaada na Weill
Cornell toka Marekani ikikumika kusaidia kuokoa maisha ya Watanzania kwa
Muungano wa jitihada za Rais Jakaya Kikwete.
Hii ni baada ya hitimisho la Mkutano wa nne wa mafunzo ya Upasuaji wa Ubongo , uti wa mgongo na mishipa ya fahamu.
Mkutano
huo ulifunguliwa na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt Seif Rashid,
uliomalizika hivi karibuni, ambapo wakishirikiana na Wataalamu madaktari
bingwa wa Chuo cha Weill Cornell toka Marekani kufanya upasuaji wa
mgongo kwa kutumia mashine ya kisasa, ambapo Watanzania 21 wamefanyiwa
upasuaji wa magonjwa hayo wakishirikiana na madaktari toka Tanzania ,
Uganda, Rwanda, Southi Afrika, Marekani na Ulaya.
Dokta
Othman Kiloloma, alimshukuru Rais Jakaya Kikwete ambaye aliye waweka
karibu na wenzao wa Chuo cha Marekani na kuwashukuru wenzao wa chuo cha
marekani kwa kuwawezesha kufanyika upasuaji huo.
Mkuu wa
Idara ya upasuaji wa ubongo, uti wa mgongo na mishipa ya fahamu
Dk.Hamisi Shabani,ambaye aliwaeleza waandishi hao kua mgonjwa mmoja
kufanyiwa upasuaji anagharimu kiasi cha dola elfu moja za upasuaji huo
nahaihusiani na mambo mengine.na katikati ni Profesa Philip Steg toka
Chuo cha Marekani nayeye alipata nafasi ya kuongea na waandishi hao na
kuwashukuru Wataalamu wa Moi (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Post a Comment