Profesa Issa Shivji akichokoza mada katika mjadala wa Maadhimisho ya
Wiki wa Ukombozi wa Afrika inayofanyika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa
jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Pereira Silima akisoma hotuba ya
uzinduzi akimuwakilisha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa, Benard Membe kwenye Maadhimisho ya Wiki wa Ukombozi wa Afrika
inayofanyika Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam.
Ofisa Mkuu na Mwakilishi Mkazi wa UNESCO nchini Tanzania, Mzulmira
Rodrigues akizungumza katika Maadhimisho ya Wiki ya Ukombozi wa Afrika
inayofanyika kwenye Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam.
Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Filiberto Ceriani Sebregondi
akizungumza katika Maadhimisho ya Wiki wa Ukombozi wa Afrika
inayofanyika Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Sihaba
Mkinga akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Maadhimisho ya Wiki
wa Ukombozi wa Afrika inayofanyika Makumbusho ya Taifa jijini Dar es
Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa, Profesa Audax Mabulla akisoma
hotuba yake na kuwakaribisha wageni kwenye Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa
jijini Dar es Salaam jana.
Meza kuu katika uzinduzi wa Wiki ya Ukombozi wa Afrika inayofanyika
katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam ikiwa
imesimama kuimba wimbo wa taifa kabla ya hafla hiyo kuanza.
Baadhi ya mabalozi na viongozi wa taasisi anuai waandamizi wakishiriki
katika mjadala wa Wiki ya Ukombozi wa Afrika inayofanyika katika Ukumbi
wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam. Mijadala hiyo imeanza
tarehe 25 na inatarajia kumalizika tarehe 29 Mai, 2015.
Profesa Issa Shivji akiwasilisha mada yake katika mjadala wa
Maadhimisho ya Wiki wa Ukombozi wa Afrika inayofanyika Ukumbi wa
Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam.
Meza kuu ya wawasilishaji mada na mwenyekiti wa mjadala katika

Baadhi ya washiriki wa mijadala ya Wiki ya Ukombozi wa Afrika
inayofanyika katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam
wakifuatilia mada mbalimbali zinazowa wasilishwa kwenye mjadala wa Wiki
ya Ukombozi wa Afrika. Mijadala hiyo imeanza tarehe 25 na inatarajia
kumalizika tarehe 29 Mai, 2015.
Baadhi ya mabalozi wakishiriki katika mjadala wa Wiki ya Ukombozi wa
Afrika inayofanyika katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es
Salaam. Mijadala hiyo imeanza tarehe 25 na inatarajia kumalizika tarehe
29 Mai, 2015.
Meza kuu ya wawasilishaji mada na mwenyekiti wa mjadala katika
Maadhimisho ya Wiki wa Ukombozi wa Afrika inayofanyika Ukumbi wa
Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya washiriki wa mijadala ya Wiki ya Ukombozi wa Afrika
inayofanyika katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam
wakifuatilia mada mbalimbali zinazowa wasilishwa kwenye mjadala wa Wiki
ya Ukombozi wa Afrika. Mijadala hiyo imeanza tarehe 25 na inatarajia
kumalizika tarehe 29 Mai, 2015.
Baadhi ya washiriki wa mijadala ya Wiki ya Ukombozi wa Afrika
inayofanyika katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam
wakiuliza maswali kwa wawasilishaji mada. Mijadala hiyo imeanza tarehe
25 na inatarajia kumalizika tarehe 29 Mai, 2015.

Home
»
KITAIFA
»
Matukio
» KARIBU HAPA UJIONEE Wiki ya Ukombozi wa Afrika na Uzinduzi Mradi Uhifadhi Urithi Nyaraka Tanzania
About Author
Journalist , Enterpreneur, Lecturer and Blogger. Email :ngoboleaa@gmail.com.
Advertisement
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment