PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: MH.GAUDENSIA KABAKA AZINDUA BARAZA ZA WAFANYAKAZI WA MFUKO WA BIMA YA AFYA(NHIF)JIJINI ARUSHA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Waziri wa Kazi na Ajira,Gaudensia Kabaka akizungumza wakati akizindua Baraza la Wafanyakazi wa Mfuko wa Bima ya Afya(NHIF) jiji...


Waziri wa Kazi na Ajira,Gaudensia Kabaka akizungumza wakati akizindua Baraza la Wafanyakazi wa Mfuko wa Bima ya Afya(NHIF) jijini Arusha leo,kushoto ni KaImu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF,Michael Mhando na kulia ni Makamu Mwenyekiti  aliyechaguliwa wa Baraza la Wafanyakazi,Deudedit Rutazaa.

Kaimu Mkurugenzi  Mkuu wa Mfuko wa Bima ya Afya nchini(NHIF),Michael Mhando akitoa hotuba yake leo wakati wa mkutano wa uchaguzi na uzinduzi wa Baraza la Wafanyakazi wa mfuko huo.

Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi wa Mfuko wa Bima ya Taifa,Deusdedit Rutazaa akizungumza baada ya kuchaguliwa na kuhaidi kutoa utumishi uliotukuka.

Baadhi ya Wakurugenzi wa Mfuko wa Bima ya Afya(NHIF)wakiimba wimbo wa Mshikamano kuhamasisha umoja na  maslahi bora kazini.

Wajumbe wa mkutano wa Baraza la wafanyakazi wa Mfuko wa Bima ya Afya(NHIF) wakifatilia kwa makini mada zilizokuwa zikitolewa katika mkutano huo.

Wajumbe wa mkutano wa Baraza la wafanyakazi wa Mfuko wa Bima ya Afya(NHIF) wakifatilia kwa makini mada zilizokuwa zikitolewa katika mkutano huo.
Waziri wa Kazi na Ajira,Gaudensia Kabaka(katikati)akiwa katika picha ya pamoja na Mameneja wa mfuko wa  NHIF.

Waziri wa Kazi na Ajira,Gaudensia Kabaka(katikati)akiwa katika picha ya pamoja na Menejimenti ya NHIF na Bodi iliyomaliza muda wake .

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top