PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: hii kali???FFU WAMWOKOA MWENYEKITI MIKONONI MWA WANANCHI WENYE HASIRA KALI IMEDAIWA KUWA ALITAKA KUAPISHWA KINYEMELA..Cheki hapa
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), akijaribu kumwokoa mtu aliyejulikana kwa jina la Mariano Haruna baada ya kupewa msukosuko ...


http://nicemediaworkstz.blogspot.com/
Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), akijaribu kumwokoa mtu aliyejulikana kwa jina la Mariano Haruna baada ya kupewa msukosuko na wananchi wenye hasira, ambaye alidaiwa kuletwa kuapishwa kinyemela kama Mwenyekiti wa Mtaa wa Kigogo Fresh Kata ya Pugu (CCM), wakati wa zoezi la kuwapisha lililofanyika jijini Dar es Salaam.

Haruna akiondolewa katika ofisi za Manispaa ya Ilala.
Askari akilazimika kumuondoa katika ofisi za Manispaa ya Ilala ampako zoezi la kuwaapisha wenyeviti lilikuwa likiendelea(Picha na Francis Dande 

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top