PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: HABARI PICHA-KAIMU MKUU WA MKOA WA ARUSHA JOWIKA KASUNGA AKITETA JAMBO NA MWENYEKITI WA TATO WILLY CHAMBULO
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Arusha Jowika Kasunga akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Waongoza Watalii nchini   (TATO)   Willy Chambulo ...

Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Arusha Jowika Kasunga akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Waongoza Watalii nchini  (TATO)  Willy Chambulo  katika Semina ya biashara kati ya India na Tanzania iliyofanyika jijini Arusha hivi karibuni. Semina imeandaliwana Kamisheni hiyo pamoja na Chama cha Wafanyabishara ,na wakulima na wenye Viwanda Arusha  ( TCCIA ) .Picha na Ferdinand Shayo


Afisa Mtendaji wa Chama cha Wafanyabiashara ,Wakulima na wenye viwanda (TCCIA) Arusha ,Sia Charles akifafanua jambo katika Semina ya biashara kati ya India na Tanzania iliyofanyika jijini Arusha hivi karibuni. Semina imeandaliwana Kamisheni hiyo pamoja na Chama cha Wafanyabishara ,na wakulima na wenye Viwanda Arusha  ( TCCIA ) .Picha na Ferdinand Shayo

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top