Lowassa Afunguka....Gwajima ni Mnafiki......
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Hivyo ndivo linavosomeka gazeti la WEMBE, huenda ameback fire ile kauli ya Gwajima aliodai hakuwahi kumuunga mkono ilhali hata mwendawazimu hahitaji evidence ili ajue Gwajima ni muongo au ni mkweli…
Kubenea Akana Kumtukana Dc Makonda
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea (44) amekana kumtukana Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda tarehe 14 Desemba 2015 walipokutana katika Kiwanda cha Tooku Garments Co. Ltd. kilichopo eneo la Exte…
Lipumba Amtwika Zigo Dr Shein Mgogoro Zanzibar....Asema Mgogoro Utakwisha Iwapo Dr Shein Atakubali ZEC Iendelee Kutangaza Matokeo
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mwenyekiti wa zamani wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amesema Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein ndiye mtu pekee mwenye uwezo wa kumaliza mgogoro wa Zanzibar. Akizungumza Dar es Salaam jana, Pro…
HABARI PICHA ZA ZIARA YA NAIBU WAZIRI MHE. POSSI KATIKA KITUO CHA WAZEE NUNGWI KIGAMBONI JIJINI DARESALAAM
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Naibu Waziri (watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi akiweka sahihi kwenye kitabu cha wageni alipotembelea Kituo cha kulea watu wenye ulemavu cha Nunge Kigamboni Dar es Salaam hivi karibuni,…
HABARI PICHA JUU YA ZIARA YA NAIBU WAZIRI (WALEMAVU) KATIKA CHUO CHA UFUNDI CHA WALEMAVU YOMBO
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Naibu Waziri (Watu wenye Ualemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi akiangalia kitambaa kilichoshonwa na watu wenye ulemavu wa kuona alipotembelea chuo cha Ufundi cha Walemavu cha Yombo Dar es Salaam na wa k…
KAMPUNI ZA SIMU ZA MKONONI TANZANIA ZAADHIBIWA KWA KUSABABISHA WATEJA WAO KUTAPELIWA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dk. Ally Yahaya SIMBA 1. Katika shughuili zake za udhibiti wa huduma za mawasiliano nchini, Mamlaka ya Mawasilaino Tanzania imepokea mala…
MHE. UMMY MWALIMU ATEMBELEA MSD, AAHIDI KUWA BALOZI WAO NA KUWATATULIA CHANGAMOTO ZINAZOWAKABILI IKIWEPO DENI WANALOIDAI SERIKALI
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Waziri wa Afya, maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akitembelea moja ya ghala la kuhifadhia dawa iliyopo makao makuu ya MSD,kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa MSD Laureane Bwanakunu na …
Naibu waziri wa Wizara ya Kazi, Vijana na Ajira, Mhe. Anthony Mavunde afanya ziara makao makuu ya Tigo leo
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Naibu waziri wa Wizara ya Kazi, Vijana na Ajira, Mhe. Antony Mavunde akizungumza na wafanyakazi wa tigo baada ya kufanya ziara mapema leo katika makao makuu ya Tigo kijtonyama jijini Dar es laam …
Waraghbishi wilayani kahama wapania Kumkomboa Mwanamke
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Na Krantz Mwantepele .Kahama Wanawake ni nguzo muhimu sana katika uchumi wa watanzania wengi. Mwanamke ana ushawishi mkubwa na hasa pale anapoamua kuwa chachu ya maendeleo. Na hasa anapowezeshwa kufa…