PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: HABARI PICHA ZA VURUGU ZILIZOHARIBU MDAHALO WA KATIBA INAYOPENDEKEZWA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Warioba alipokuwa aki...






Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Warioba alipokuwa akitoa mada kwenye mdahalo wa kujadili umuhimu wa kuielewa kwa kina Katiba inayopendekezwa kama ilivyopitishwa na Bunge Maalum la Katiba kabla ya vurugu kutokea.

Baadhi ya vijana walioingia na mabango na kuvuruga mdahalo huo wakidhibitiwa.

Vurugu zikishika kasi ndani ya Ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar.

Jaji Warioba akitolewa nje ya Ukumbi wa Ubungo Plaza mara baada ya vurugu kutokea.

Jaji Warioba akiwa nje ya ukumbi huo chini ya ulinzi mkali.



Baadhi ya vijana waliovuruga mdahalo huo wakiwa na mabango.

Jaji Warioba (wa pili kushoto waliokaa) akijadiliana jambo na wenzake.

Wanahabari

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top