Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na kuzungumza na aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya
Katiba, Profesa Mwesiga Baregu, walipokutana katika Hoteli ya Serena
jijini Dar es Salaam, leo Novemba 3, 2014 baada ya kuzindua rasmi utoaji
wa huduma kwa walemavu wa kusikia (Viziwi) uzinduzi huo umefanyika leo
Novemba 3, 2014 kwenye Viwanja vya Hoteli ya Serena jijini Dar es
Salaam, chini ya usimamizi wa Taasisi ya Starkey Hearing ya nchini
Marekani
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na waliokuwa wajumbe wa Tume ya Katiba mpya, kutoka
(kushoto) ni Humphrey Polepole, Mwenyekiti wa Mfuko wa Mwalimu Nyerere,
Julius Butiku na Prof. Mwesiga Baregu, baada ya kuzindua rasmi utoaji wa
huduma kwa walemavu wa kusikia (Viziwi) uzinduzi huo umefanyika leo
Novemba 3, 2014 kwenye Viwanja vya Hoteli ya Serena jijini Dar es
Salaam, chini ya usimamizi wa Taasisi ya Starkey Hearing ya nchini
Marekani.
Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
Post a Comment