Imamu
wa Msikiti wa Kigogo jijini Dar es Salaam, Shikh Hemed Jalala
akizungumza na waandishi wa habari Dar es salaam hii leo muda mfupi
kabla ya kuanza maandamano ya amani ya kuazimisha kifo cha Imam Hussein
bin Ali ambaye ni mjukuu wa pili wa Mtume Mohamad (S.A.W) jijini Dar es
Salaam leo.
Sheikh Noor Mohamed kutoka Ghana nae akizungumza na wanahabari juu ya maadhimisho hayo.
Immam
Hussein alikuwa ni kiongozi aliyehimiza utu katika jamii. Sheikh Jalala
ameungana na Sheikh Noor Mohamed kutoka Ghana kupinga vikali yale yote
yanayofanywa na vikundi vya kigaidi na kusema ndio uislamu si kweli.
waio kwa pamoja wanasema Islam ni dini ya upendo na amani na kamwe
hakuna semehu inayowaongoza kufanya mauaji kwa binadamu wenzao.
Waislamu wa Shiha wakiungana na waislamu wengine mbalimbali katika matembezi ya amani kuadhimisha kifo cha Imam Hussein bin Ali ambaye ni mjukuu wa pili wa Mtume Mohamad (S.A.W) jijini Dar es Salaam leo.
Waislamu wa Shiha wakiungana na waislamu wengine mbalimbali katika
matembezi ya amani kuadhimisha kifo cha Imam Hussein bin Ali ambaye ni
mjukuu wa pili wa Mtume Mohamad (S.A.W) jijini Dar es Salaam leo.
Post a Comment