Mwenyekiti wa Bodi Sikika, Bi. Pili
Mtambalike akisoma tamko la Shirika lisilo la Kiserikali la Sikika mbele
ya waandishi wa Habari leo Agosti 3, 2014 kufuatia kusikitishwa na
taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri wilayani
Kondoa ya kusitisha shughuli zake katika wilaya hiyo kupitia barua yenye
kumbukumbu namba KDC/LGC/M/3 VOL. II/71 ya tarehe 31/07/2014. Kwa
mujibu wa barua hiyo, maamuzi hayo yalitolewa katika mkutano wa Baraza
la Madiwani uliofanyika 26 Julai, 2014 Kondoa baada ya kuituhumu Sikika
kwamba imesema Madiwani hawajasoma. Kutoka Kushoto ni Mkurugenzi
Mtendaji wa Shirika la Sikika Bw. Irenei Kiria, Mjumbe wa Bodi ya Sikika
pamoja na Dokta Eli Nangawe (wa Kwanza Kuli).
Mwenyekiti wa Bodi Sikika, Bi. Pili
Mtambalike akisoma tamko la Shirika lisilo la Kiserikali la Sikika mbele
ya waandishi wa Habari Agosti 3, 2014 kufuatia kusikitishwa na
taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri wilayani
Kondoa ya kusitisha shughuli zake katika wilaya hiyo kupitia barua yenye
kumbukumbu namba KDC/LGC/M/3 VOL. II/71 ya tarehe 31/07/2014. Kwa
mujibu wa barua hiyo, maamuzi hayo yalitolewa katika mkutano wa Baraza
la Madiwani uliofanyika 26 Julai, 2014 Kondoa baada ya kuituhumu Sikika
kwamba imesema Madiwani hawajasoma. Kutoka Kushoto ni Mkurugenzi
Mtendaji wa Shirika la Sikika Bw. Irenei Kiria na Mjumbe wa Bodi ya
Sikika.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la
Sikika Bw. Irenei Kiria akitolea ufafanuzi tamko lililosomwa mbele ya
waandishi wa habari leo Agosti 3, 2014 kufuatia kusikitishwa na taarifa
iliyotolewa na Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri wilayani Kondoa ya
kusitisha shughuli zake katika wilaya hiyo kupitia barua yenye
kumbukumbu namba KDC/LGC/M/3 VOL. II/71 ya tarehe 31/07/2014.
Waandishi wa Habari wakiwajibika.
Dokta Eli Nangawe akijibu maswali mbele ya waandishi wa habari.
Post a Comment