SHIRIKA la Ugavi wa Umeme Nchini, Tanzania Electric Supply Company Limited (TANESCO), limeionjesha joto ya jiwe Kampuni ya SYBA Electrical Contractor kwa kuisimamisha kutoendelea na zoezi la kukusanya fedha kutoka kwa wateja wake katika vijiji ambavyo mradi wa umeme vijijini unategemewa kuanza kutekelezwa, baada ya kukiuka masharti ya mkataba.
Afisa Uhusiano na wateja wa TANESCO kutoka mkoa Shinyanga, Amon Michael, amesema kampuni hiyo imezuiwa kufanya zoezi hilo lililokuwa linatarajiwa kufiikiwa na kwenye vijiji 145 mkoani Kigoma.
Amesema TANESCO wameamua kutoa maamuzi hayo baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa wananchi juu ya kampuni hiyo, na kuwa ilikuwa inakusanya kiasi cha shilingi 46,000 kutoka kwa kila mwananchi kwa ahadi ya kuwaletea umeme jambo ambalo ni kinyume na kazi inayopaswa kufanywa na kampuni hiyo.
Aidha, amesema amekwisha zungumza na baadhi ya wananchi katika mikutano mbalimbali ya hadhara ambapo amesema kampuni hiyo iliomba kazi TANESCO ya kusambaza nyaya kwenye nyumba za wateja ambapo katika vijiji hivyo na kuwa pamoja na mambo mengine kampuni hiyo inakusanya pesa kwa ajili ya usajili wa wateja wapya, ukaguzi na uchoraji wa ramani na hiyo ni kinyume na mkataba wao.
Ametoa agizo la kufungwa kwa ofisi hizo kwa muda kwani bado TANESCO haijatangaza wakandarasi wadogo ambao watapaswa kufanya kazi ya kuweka miundo mbinu ‘Wiring’ kwenye nyumba za wateja, huku akitoa tahadhari kwa wananchi kuwa macho na kampuni ambazo zinafika kwenye maeneo yao kwa madai ya kuwaletea umeme.
Kwa upande wake Meneja wa Kampuni iliyosimamishwa kufanya kazi hiyo mkoani Kigoma, Benjamen Gasomi, amesema kuwa amesikitishwa na tamko lililotolewa na uongozi wa TANESCO na kuwa yanashusha heshima ya Kampuni yake kwa kuonekana kuwa ni ya kitapeli wakati inafanya kazi halali kwa mujibu wa mkataba.
Alisema kuwa Kampuni yake iliomba kazi ya kusambaza waya kwenye nyumba za wateja na kuwa iliruhusiwa na Mamlaka husika na kwamba katika fedha wanazokusanya za usajili zinahusiana na wateja wa kampuni yao ambao wanataka kuwekewa miundo mbinu ya umeme ‘Wiring’ na siyo kwa wateja wapya wa TANESCO, pamoja na kukagua nyumba ambazo zimewekewa mfumo huo ili kujua salama wake sambamba na kuchora michora ya mfumo wa umeme kwenye nyumba hizo.
TANESCO waionjesha joto la jiwe kampuni iliyokiuka masharti ya mkataba
SHIRIKA la Ugavi wa Umeme Nchini, Tanzania Electric Supply Company Limited (TANESCO),
limeionjesha joto ya jiwe Kampuni ya SYBA Electrical Contractors kwa
kuisimamisha kutoendelea na zoezi la kukusanya fedha kutoka kwa wateja
wake katika vijiji ambavyo mradi wa umeme vijijini unategemewa kuanza
kutekelezwa baada ya kukiuka masharti ya mkataba.
Akiongea na FikraPevu leo Julai 23, 2014 mjini Kigoma, Afisa Uhusiano na wateja wa TANESCO kutoka mkoa Shinyanga, Amon Michael, amesema kampuni hiyo imezuiwa kufanya zoezi hilo lililokuwa linatarajiwa kufiikiwa na kwenye vijiji 145 mkoani Kigoma.
Amesema TANESCO wameamua kutoa maamuzi hayo baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa wananchi juu ya kampuni hiyo na kuwa ilikuwa inakusanya kiasi cha shilingi 46,000 kutoka kwa kila mwananchi kwa ahadi ya kuwaletea umeme jambo ambalo ni kinyume na kazi inayopaswa kufanywa na kampuni hiyo.
Aidha, amesema amekwishazungumza na baadhi ya wananchi katika mikutano mbalimbali ya hadhara ambapo amesema kampuni hiyo iliomba kazi TANESCO ya kusambaza nyaya kwenye nyumba za wateja ambapo katika vijiji hivyo na kuwa pamoja na mambo mengine kampuni hiyo inakusanya pesa kwa ajili ya usajili wa wateja wapya, ukaguzi na uchoraji wa ramani na hiyo ni kinyume na mkataba wao.
Ametoa agizo la kufungwa kwa ofisi hizo kwa muda kwani bado TANESCO haijatangaza wakandarasi wadogo ambao watapaswa kufanya kazi ya kuweka miundo mbinu ‘Wiring’ kwenye nyumba za wateja, huku akitoa tahadhari kwa wananchi kuwa macho na kampuni ambazo zinafika kwenye maeneo yao kwa madai ya kuwaletea umeme.
Kwa upande wake Meneja wa Kampuni iliyosimamishwa kufanya kazi hiyo mkoani Kigoma, Benjamen Gasomi, amesema kuwa amesikitishwa na tamko lililotolewa na uongozi wa TANESCO na kuwa yanashusha heshima ya Kampuni yake kwa kuonekana kuwa ni ya kitapeli wakati inafanya kazi halali kwa mujibu wa mkataba.
Alisema kuwa Kampuni yake iliomba kazi ya kusambaza waya kwenye nyumba za wateja na kuwa iliruhusiwa na Mamlaka husika na kwamba katika fedha wanazokusanya za usajili zinahusiana na wateja wa kampuni yao ambao wanataka kuwekewa miundo mbinu ya umeme (Wiring) na siyo kwa wateja wapya wa TANESCO, pamoja na kukagua nyumba ambazo zimewekewa mfumo huo ili kujua salama wake sambamba na kuchora michora ya mfumo wa umeme kwenye nyumba hizo.

Post a Comment