PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: Mkenya anayehusishwa na ugaidi kwao na wenzake 16 kizimbani Dar
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
JESHI la Polisi nchini limemkamata na kumfikisha Mahakamani mmoja wa watuhumiwa wa matukio ya ugaidi nchini Kenya, Jihad Gaibon Swale...






Katika kesi ya kwanza kwa washtakiwa 16 ambao ni, Nassor Abdallah, Hassan Suleimani, Anthari Ahmed, Mohamed Yusuph, Abdallah Hassan maarufu kama Jibaba, Hussein Ally, Juma Juma, Said Ally, Hamis Salum, Said Salum, Abubakar Mngodo, Salum Salum, Salum Amour, Alawi Amir, Rashid Nyange au Mapala na Amir Juma, walisomewa mashtaka hayo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Hellen Riwa wa mahakama hiyo.

Imedaiwa Makahamani hapo kuwa watuhumiwa wanadaiwa kutenda mokosa hayo kati ya Januari, 2013 na Juni 2014 katika maeneo tofauti hapa nchini, washtakiwa wote 17 wamerudishwa rumande ambapo kesi yao itatajwa tena Julai 23, 2014.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top