PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: LOWASA AKUTANA NA BALOZI WA UBELGIJI NCHINI NA KUZUNGUMZIA KATIBA MPYA!!!!!!!
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
  Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya kudumu ya mambo ya nje Mh Edward Lowassa akizungumza na balozi wa Ubelgiji Hapa nchini...

Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya kudumu ya mambo ya nje Mh Edward Lowassa akizungumza na balozi wa Ubelgiji Hapa nchini Koen Adam aliyekwenda kumtembelea ofisini kwake jijini Dar es Saalam. Walijadiliana masuala mbalimbali yakiwemo suala la mchakato wa katiba mpya,mzozo katika eneo la nchi za maziwa makuu pamoja na hali katika Umoja wa Ulaya.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top