Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba
amesema
hadi sasa uamuzi wake wa kugombea Urais mwaka ujao umefikia asilimia 90.
Akihojiwa na mshindi wa tuzo za watu kwenye kipengele cha mtangazaji wa
runinga anayependwa, Salim Kikeke kwenye kipindi cha Dira ya Dunia cha
BBC Swahili, Makamba amesema kuna mambo ya kujiuliza kabla ya kuamua
kuchukua uamuzi huo.
Home
»
»Unlabelled
» JANUARY MAKAMBA: ‘KUNA 90% YA MIMI KUGOMBEA URAIS 2015′
About Author
Journalist , Enterpreneur, Lecturer and Blogger. Email :ngoboleaa@gmail.com.
Advertisement
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment