PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: HIII HATARI!!! KIJANA APEWA ADHABU YA KUTUNDIKWA KWENYE MTI BAADA YA KUKUTWA ANAIBA FUNGUO ZA DALADALA MKOANI MBEYA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
 Kijana huyo ambaye hajajulikana jina kwa Mara moja akiwa ametundikwa katika mti baada ya kukamatwa anaiba funguo za magari katik...



 Kijana huyo ambaye hajajulikana jina kwa Mara moja akiwa ametundikwa katika mti baada ya kukamatwa anaiba funguo za magari katika Garage moja Soweto.
 Kijana huyo akiwa anapata shida  na mateso kwa kuwa alikuwa amebinya na kamba hizo mtini.

 ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI

 Kijana huyo akiomba msaada wa kutolewa hapo na kuomba msamaha
 Kijana huyo akiendelea kuteseka 
 Hali inakuwa Mbaya zaidi
 Kijana huyo akiwa anashushwa baada ya adhabu kali

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top