Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda akiingia ukumbi wa Bunge kwa ajili ya Bunge hilo kusomewa hotuba ya Bajeti ya Serikali na Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum leo mjini Dodoma Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akisindikizwa na askari wa Bunge kwenda kusoma Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2014/2015 leo Bungeni mjini Dodoma
Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akiwasilisha hotuba ya mapendekezo ya Serikali kuhusu makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2014/2015 leo Bungeni mjini Dodoma.
Post a Comment