PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: WAANDISHI WA HABARI WATAKIWA KUANDIKA MAKALA ZENYE KUSAIDIA KULETA MABADILIKO KATIKA JAMII
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
 Godwin Gondwe Mtangazaji wa ITV na Muhadhiri wa chuo cha TUMAINI Daresalaam. akiwajengea uwezo waandishi hasa wa redio na televish...


 Godwin Gondwe Mtangazaji wa ITV na Muhadhiri wa chuo cha TUMAINI Daresalaam. akiwajengea uwezo waandishi hasa wa redio na televisheni namna ya kuandaa taarifa zao,naye ni mmoja wa makocha walioteuliwa na TMF
 Hamisi Dambaya ni miongoni mwa makocha akielezea umuhimu wa mwandishi kufuata maadili ya uandishi.
 Kuna wakati mnalazimika kuangalia shajala ili kuweka mipango kazi inayotekelezeka.
 Wanafuatilia mada.
 Samo Kamalamo mhariri wa gazeti la Changamoto ambaye ni miongoni mwa makocha wa wanahabari waliopata ruzuku za vijijini toka TMF namna ya kuandika makala zenye tija.
Charles gwiji la habari toka nchininZimbabwe alitoa ufafanuzi wa jinsi ya kuandika habari za uchunguzi kwa waandishi waliopata ruzuku ya vijijini toka TMF.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top