PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: SIKU YA MTOTO AFRIKA ILIVYOFANA JIJINI ARUSHA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
 Watoto  wa shule ya msingi Kilimani iliyoko jijini Arusha wakiwa kwenye gharide maalumu la kuadhimisha siku yao leo katika viwanja vya ...
 Watoto  wa shule ya msingi Kilimani iliyoko jijini Arusha wakiwa kwenye gharide maalumu la kuadhimisha siku yao leo katika viwanja vya Sheikh Amri Abeid Karume,kauli mbiu ya maadhimisho hayo ni "Elimu bora na isiyo na vikwazo ni haki ya mtoto.Watoto nchini wanakabiliwa na changamoto mbali mbali ikiwemo kufanyiwa vitendo vya ukatili,watoto wa mitaani wanaokosa matunzo na elimu,uhaba wa vifaa katika shule.Picha na Ferdinand Shayo

Watoto  Kutoka shule mbali mbali za msingi Kilimani zilizoko  jijini Arusha wakiwa kwenye gharide maalumu la kuadhimisha siku yao leo katika viwanja vya Sheikh Amri Abeid Karume,kauli mbiu ya maadhimisho hayo ni "Elimu bora na isiyo na vikwazo ni haki ya mtoto.Watoto nchini wanakabiliwa na changamoto mbali mbali ikiwemo kufanyiwa vitendo vya ukatili,watoto wa mitaani wanaokosa matunzo na elimu,uhaba wa vifaa katika shule.Picha na Ferdinand Shayo   

About Author

Advertisement

Post a Comment

Top