PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: MBATIA KUTOA MILLIONI KUMI KWA PROFESA ATAKAYAJIBU MASWALI YOTE YA MTIHANI WA DARASA LA SABA WA MWAKA JANA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Changamoto ya mapungufu yaliyotajwa kwenye maandalizi ya vitabu na mitihani ya kumaliza darasa la saba imepelekea mheshimiwa James Mba...



Amependekeza kuwa ili kupata tiba, bunge limuombe rais Jakaya Kikwete kuunda tume ya kudumu ya elimu nchini ambayo itakayokuwa inahakikisha ubora wa elimu na kudhibiti mambo yanayosababisha kutetereka kwa elimu nchini na amependekeza iitwe ‘Education quality assurance and control’

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top