PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: KIKWETE AAHIDI KUTATUA KERO ZA WAUGUZI NCHINI!!!
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
 wauguzi wakiwa wanaingia uwanjani kwa maandamano rais jakaya mrisho kikwete akiwa anasalimiana na baadhi ya wauguzi wakat...

 wauguzi wakiwa wanaingia uwanjani kwa maandamano
rais jakaya mrisho kikwete akiwa anasalimiana na baadhi ya wauguzi wakati alipokuwa anatembelea mabanda  katika maathimisho ya siku ya wauguzi duniani ambapo kwa tanzania imefanyikia Arusha
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisikiliza kwa makini jinsi wauguzi  wanavyotoa huduma ya afya kwa wagonjwa wakati alipotembelea mojawapo ya mabanda ya maonyesho ya Wauguzi wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani yaliyofanyika kitaifa katika uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid mjini Arusha leo.http://angobole.blogspot.com
 Wauguzi wakiandamana wakati wa maadhimisho ya siku ya wauguzi Duniani wakiwa na mabango mbalimbali katika uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha leo.
 Wakimsikiliza Rais Jakaya wakati akihutubia.




About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top